Unahitaji FREMU za Biashara?

Unahitaji FREMU za Biashara?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
1972301_669654999766426_166212476_n.jpg
Ukilipa nakuwekea GETI..................................
 
Biashara yangu ya mirungo itanifaa hapo nadhani
 
Kwa mimi zinanifaa kwa biashara ya shot tame maana siku hizi huwa zina lipa sana huwa hazina kodi ni teli kwa tele
 
Hii itakuwa BASHNET.....! Hii ni kaunta ya Bia...! Zote Bariiiidiiii!
cc. mshana jr, Mtumishi Wetu, Earthmover....IMG_2099.JPG
 
Kwa mimi zinanifaa kwa biashara ya shot tame maana siku hizi huwa zina lipa sana huwa hazina kodi ni teli kwa tele
hapo ni kushikisha tu maana sitaweka vitanda
 
ngoja nikanunue mshine za efd tra nakuja kukuona
 
Back
Top Bottom