Kama watu wangekuwa tayari kushare hii isingekuwa tatizo kubwaScarce resources 😎
Umeona? Sasa ni people fighting for status and power ndio wanaleteleza haya yote!Kama watu wangekuwa tayari kushare hii isingekuwa tatizo kubwa
Mnadanganywa aisee!Hatutaki!!
Kwamba tumelala?
Tunadanganywa na nani? Tupe ushahidi, na umefanya kitu gani cha ajabu kutuzidi mpaka utuonee huruma😏Mnadanganywa aisee!
Nawaonea bonge la huruma.
Mnaambiwa Kuna mungu lakini kiuhalisia hayupo.Tunadanganywa na nani? Tupe ushahidi, na umefanya kitu gani cha ajabu kutuzidi mpaka utuonee huruma😏
Siasa ni mwamvuli tu, si chanzo wala kisababishi. Inatumika kuvipa uhalali na kufichia vyanzo halisi. Wasiojielewa huaminishwa kuwa maslahi yao yatashughulikiwa na kufanikishwa nyakati zote.Unahisi nini kinachostopisha wanadamu wasiishi kwa amani?
Huo uthibitisho hayupo ndio sijauona so far mnabwabwaja tu!Mnaambiwa Kuna mungu lakini kiuhalisia hayupo.
Mnatoa sadaka zinaliwa na wachungaji na wazee wa kanisa, Mimi sitoi pesa zangu kwa wahuni nalia bata.
Ila walokole mnamaigizo sana bhana!Huo uthibitisho hayupo ndio sijauona so far mbabwabwaja tu!
Sasa tunatofauti gani? Kila mtu anatoa kwenye madhabahu yake🤗
Tuwachee💃🏽Ila walokole mnamaigizo sana bhana!
Ngoja niwaache na mambo yenu 😂.Tuwachee💃🏽
Lete script tukutolee movie😍