Unahisi mwana JF yukoje kimtazamo wako

farkhina sio mwarabu jana nimekutana nae rita anatoka kuchukua chet cha kuzaliwa anaitwa kidawa bint juma.
unasema Kaizer anayeichuki pombe thubutu anapiga yale maj hatari
 
Last edited by a moderator:
farkhina sio mwarabu jana nimekutana nae rita anatoka kuchukua chet cha kuzaliwa anaitwa kidawa bint juma.
unasema Kaizer anayeichuki pombe thubutu anapiga yale maj hatari

Hahahaha iloooooooo tafta jengine babu weeeee....naitwa ki medicine upo apo kidawa la kishamba sana lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa ndomana nakumiss jukwaani best, yangu tena yapi hayo? Unanitishia popote nitakapomwona shem namwbia hadi ubaki njia kuu.

Ebu sogea pembeni nikunong'oneze "hivi kile kidumu chako cha TAZARA kimesharudi mjini?"
 
charminglady atakuwa maji ya kunde kiuno nyigu kota la kufa mtu
Bado anasoma na ni mtu wa madisiko sana
masai dada huyu ni mjasiria mali hajaolewa lakini anatamani sana maisha hayo
Hapendi mwanaume asiyekuwa na kajina jina na pesa anapenda kuvaa vitenge sana ICHANA huyu ni mtu mzima kati miaka 28 mpaka 30 ni mtulivu kimwonekano ila anapenda sana ngono na umbea wa vibarazani

Oooooohhhh... Yaan umekosea vyoooote! Jaribu tena!!
 
Back
Top Bottom