Unahisi jamaa aliamini mtoto ni albino?

Kama ni Albino kweli, hakuna tatizo, ni kawaida, lakini kama Mzungu, aisee, hata DNA ikinithibitishia bado utata!
 
akiwa albino unamshukuru Mungu maisha yanasonga.....asijekuwa Bushoke patachimbika
 
Picha zingine bwana,ukiangalia shingo ya huyo dada na hilo gauni la hospitali na hiyo miguu mmmh! Ujumbe umefika!
 
huyu jamaa anadhani mkewe ana mashine ya photocopy huko chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…