Tukia dawa ikuingie wewe wacha Magufuli ainyooshe hii nchi....au utakua mmiliki wa chuo kikuu cha TEKU
kuna chuo kinaitwa Bagamoyo university ni matatizo bora kitumbuliwe tuSerikali inaendelea na kuuzunguka mbuyu. Yaani inazidi kuzunguka tatizo badala ya kulitatua. Na sababu kubwa ni kwamba inazunguka kwa sababu yenyewe ndiyo ilivisajili, lakini leo inavifuta.
Wizara ya Elimu inayopaswa kuwa madhubuti inachezewa tena kama hivi. Unafuta vyuo kwa sababu havitoi elimu inayofaa, je wewe unatoa elimu bora?
Mimi ninachoona hapa ni kuzunguka mbuyu tu. Hakuna kitakachofanyika bali ni kuzunguka kama ndege aliye kwenye 'cage'.
Toeni Elimu bora ili mtoe vitu bora!
hilo alishaliongea kuwa wakati wanavisajili vilikuwa na sifa ila vimeteleza wapi naye hajuiMama ndalichako naomba ufute vyuo ambavyo havina sifa maana vinazalisha watu ambao haeleweki kabisa.
Pia ni bora tukawa na vyuo vichache ambavyo vikitoa product za kweli walioiva vilivyo na wenye maadili mazuri na siyo kutoa wasomi wezi.
Mchochezi huyu.Naona umeamua kurusha mawe magogoni