Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Kifungu au paragraph ya pili kwa mtazamo wangu ndio ya msingi.
 
Binafsi cha kwanza ni watoto ambao watalelewa wakiona baba na mama

Cha pili ni kamari yaani bima in case umepatwa na maradhi yatakayokufanya uishie kitandani, hii ni kamari kwa pande zote
 
Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
Mmhhh!!!!, Nadhani asiyeoa /kuwa na ndoa ndio imperfect kwasababu Kadiri ya Mpango Mungu alituumba tuishi mume na mke, Sasa tofauti na hapo una mapungufu unless una special devotion.
 
Nafikiri kunachofanya wanandoa waendelee kukaa na kuishi pamoja ni matunda ya ndoa ikiwamo Watoto na mambo mengine ambayo hawakua nayo wakati wakiwa katika level ya kuchumbiana,Ndio maana wale ambao hawajafanikiwa watoto nk ni rahisi wao kuachana na kila mtu kufuata shughul nyingine, Lakini wale walioziendeleza ndoazao inakua ngumu kwa sababu tayari wanakua namambo waliyosababisha ikiwamo watoto ambao wanawategemea kwa kila kitu hivyo wanajikuta wanaishi pamoja ili kuwalelea watoto lakini si kupata mapenzi wala pesa na magari.
 
Ukitafakari kwa nini marafiki wanadumu pamoja, utajua kinachoweza kufanya ndoa idumu, meanwhile wanandoa wakipendana, wakithaminiana na kusaidia na kusonga mbele pamoja.
 
Mmhhh!!!!, Nadhani asiyeoa /kuwa na ndoa ndio imperfect kwasababu Kadiri ya Mpango Mungu alituumba tuishi mume na mke, Sasa tofauti na hapo una mapungufu unless una special devotion.
Definition yangu ya perfection ni kutafuta perfect person. Zile sifa zile
1. Age=Awe na umri Fulani hivi (akuzi ama umzidi)
2. Beauty = Awe na urembo flani hivi wa mwili
3. Colour of skin= Asiwe Cheusi mangala wala Cheupe Sana kupitiliza
4. Divine= Awe mcha Mungu hasa hasa awe Dini yangu
5. Education= Awe na Masomo kiwango Fulani, bila hii hatuwezani
6. F.
7. G
8. Height= Awe mrefu hivi elegant elegant
9. I
.
.
.
26. Z
Sasa perfect person atapambana kumpata mwenye hizi sifa A-Z, ikipungua sifa hata Moja, biashara ya ndoa haipo.

Imperfect person atataka apate mwenza walau anayefikia 50% ya hizi sifa. Na hii very common.

Ndiposa nikasema ndoa ni kwa ajili ya imperfect person. Natumai umenimanya vema.
 
F = Fortitude. Ajue kuvumilia magumu, yaani mipando & miteremko ya maisha

G = Genius. Awe intelligent, elegant, smart, brain-brave, free brain (not brain-free)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…