Yeah.....shida nikwamba vijana wa kizazi hiki muda mwingi wanapokuwa kwenye uchumba huwa hawaplan chochote kwa kesho yao,wanaishia outing za kula na kunywa tu,sometimes outing mnaweza mkapeana changamoto na kufikia point ya kuwa na one goal.......sasa planning zinaanza wkt mmeoana,kale kaubishani ndiyo muda mmoja anaanza kuona hasikilizwiTaasisi inabidi iwe na kanuni bora ili iwe endelevu yenye tija, au siyo!???
Mbona sasa usipomgegeda wanasemaga kwani kwako nimefuata chakula...ata kwetu nilikuwa nakula....bwana wee cha muhimu kwenye ndoa ni kugegedanaHicho ulichoandika ni kitu cha ziada sana. Ndoa siyo kugonoka tu ndiyo maana utakuta mtu yupo Dar lkn anafanya kazi Dodoma. Mwanamke anahitaji ale, avae n.k mtoto wa watu alale njaa halafu mpande kiunoni uone kama atakupa mzigo.
Theory of feelings at its worstMnaambiwaga hamsikiii
"UKIKUTANA NA M/KE AU MME MOYO WAKO UKASHTUKA NA KUANZA KUMPENDA KIASI CHA KUJIHISI DHAIFU BASI HUYO SIO SAHIHI KWAKO"...
ILA
" UKIKUTANA NA MWANAMMKE AU ME UKAHISI UNAMPENDA KWELI LKN HUNA HOFU YA KUMUONGELESHA WALA HUOGOPI KUMTONGOZA(HOFU HUNA/UNAJIHIS CALM STATE MIND), HUYO NDIO SAHIHI KWAKO NA USIMPUUZE KWANI HALF PART IF YOUR HAPPINESS LIES ON HER/HIM"
sio Mimi n Buddha na love mystery hyo
YeahNdoa ni mpango wa Mungu, Mume na Mke kusaidiana wakijaliwa kupata Watoto wawalee kiimani na kielimu n.k. hivyo basi ndoa haimuhusu Mwanamke peke yake kila jinsia ina umuhimu wake, Mwanaume ndiyo wa kwanza kumfuata Mwanamke halafu Mwanamke anamfuata Mwanaume.
Wakati mwingine tunaweza kujua uwezo binafsi wa mtu kupitia mchango wake(comment) ,mkuu wewe ni akili kubwa sana,,,bravoNdoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.
Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!