Eti eeeeh!?huyo wa kwanza hapo ni Miss_Irene namjua kabisa
Bora umekuja wakuone vizuri.Eti eeeeh!?
Mawazo yako yanaheshimiwa mkuuHuyo wa pili type kama ya @Numbisa.nawaza tu lakini.
Tumpe mda kidogo. Huenda ata kupitia kwa baadhi ya wanaJamiiForums atabadilika na kua mtu poa. Kigezo cha kutojuana kisifanye tutukane watu nkKuna mdogo wetu mmoja kaja anaitwa KichwaBOGA kachadua hali ya hewa,
Ila mfano mie nakuwa najiachia sana kufanya kitu chochote JF coz hakuna anaenifahamu kiundani, kuna mada nachangia humu wakati ki uhalisia siwezi kufanya kazini, mtaani na nyumbani pia
Huwezi kumjua mtu kwa mwandiko wake, kuna wengine wastaarabu sana sana ila humu wanaonekana wababaishaji!!!!!!