Unafikiria kitu gani kuhusu hii picha?

Unafikiria kitu gani kuhusu hii picha?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958
1924456_422792917869846_7583150124434856872_n.jpg

What do u feel in this photo?
 
Nilichokifikiri ni kigumu kukieleza ila hii picha inaumiza sana na hapa kwetu ni wengi sana wako hivyo Ewe Muumba pitisha shani yako siku moja mtoto huyu na wengine wa aina hii waweze kuishi kwa furaha kama wengine
 
dogo haendi shule wenzake wanaenda!
_juzi nilienda bukoba yaani niliwaona watoto wanatoka shule wapo peku wengine nguo zimechanika chanika kabisa nikajiuliza hapa nipo tz?
 
So sad! Mtoto analilia kwenda shule kama hao wenzake. Jana nimekutana na binti mdogo wa kihindi huku India anaomba barabarani nikajisikia mbaya moyoni.
 
hata hao tunao waita wa mitaani wanapenda kama vya hao wa kishua
 
So sad! Mtoto analilia kwenda shule kama hao wenzake. Jana nimekutana na binti mdogo wa kihindi huku India anaomba barabarani nikajisikia mbaya moyoni.

Kwani haujawahi kuona hata wa hapa bongo wanaomba barabarani?
 
Nafikiria jinsi MziziMkavu na Diaspora wengine wanaosoma nje ya nchi wanavyoteseka...!
cc Masopakyindi
 
Huwezi kuelewa nini naongea sababu hauko ktk hisia zangu my dear! Sio kwamba siwaoni la hasha. I met her yesterday and surprisingly enough nimekutana na mada hii JF. Anyway Honey Faith nikutakie jumapili njema.
 
Kwahyo na yye kaongea utumbo.?

Ni afadhali alivyosema hivyo kuliko angetaja kile kilichopo ndani ya utumbo mkuu hapo katumia lugha nzuri kiasi japo sio sana,HAYA.
 
Maswali mengine hayana akili. Hivi darasani mwalimu akieleza mada halafu akatoa mfano mathalani machungwa ni matunda. Halafu mtu mwingine akadakia mbona hukutoa mfano wa maembe simply because kwao kuna miti ya maembe. Hiyo ni sawa!!!
 
Dogo na yeye anapenda maisha ya kuwa shule kama wenzake sio maisha ya uchuuzi ambayo kutokana na hali ya wazazi wake hairuhusu inafanya dogo awe mtaani badala ya shule.

Kwa kweli dogo anaumia sana
 
Katika vitu vinavyoweza kunitia simanzi ni watoto, hasa wenye matamanio ya kujiendeleza kama wengine lakini kwa sababu zozote zile hawana uwezo.
Malafyale, masopakyindi koma amisi bhana bhende kitali, amenye unnabho.. Ungatilagha...! Masiku agha gwiputa kubhasisimikisi, umputi gwangu jho Bujibuji unyamanyafu..!
 
Back
Top Bottom