Unafikiri kiingereza ni rahisi?

nimeamkia uzi unaoitwa MWENYEKITI WA KAMATI YA HARUSI kila uzi ninaouona nauhusisha na fasihi. sijui RANGI ya hako ka-tshirt inahusika ili niweke uwiano sawa wa YES/NO!!
 
Kweli Kiingereza sio rahisi.

Angalia hapo 3.... I don't have "Sence?"

Sence?No.

Sense?Yes.
 
Kweli Kiingereza sio rahisi.

Angalia hapo 3.... I don't have "Sence?"

Sence?No.

Sense?Yes.
Hapo maanake yake ukijibu YES/NO hamna tofauti......maana ni ile ile.....mfano yes i dont have brain ni kwamba umemkubalia mtu aliesema huna ubongo. ukijibu No i dont have brain napo umemjibu mtu aliekuuliza do you have a brain? umejibu huna brain.
 
Ni kweli.

"Yes" au "No" utakuwa umekubali. Zimetungwa kwa akili sana.

Shida yangu ilikuwa kwenye "typo" ya neno "sence" badala ya "sense".

Hapo ikadhihirisha kwamba kweli Kiingereza kigumu hadi mtunzi alijisahau kwakuwa yanatamkwa sawasawa...?
 
Yeah hapo sence kachemka.
 
Mbona mimi naona kama kuna tofauti!
Kujibu YES au NO itategemea na aliyeuliza aliwekaje swali lake,hivyo unaweza kuwa na majibu mawili tofauti.
 
nimeamkia uzi unaoitwa MWENYEKITI WA KAMATI YA HARUSI kila uzi ninaouona nauhusisha na fasihi. sijui RANGI ya hako ka-tshirt inahusika ili niweke uwiano sawa wa YES/NO!!
It is true that all the wells have dwindled. Now it is clear that English is not easy!
 
Mbona mimi naona kama kuna tofauti!
Kujibu YES au NO itategemea na aliyeuliza aliwekaje swali lake,hivyo unaweza kuwa na majibu mawili tofauti.
Hapo ukijibu YES/NO somehow hamna tofauti.......Yes, i dont have a brain na No, i dont have a brain....sentensi zote mbili ni kuwa unakubali huna ubongo.
 
Mbona mimi naona kama kuna tofauti!
Kujibu YES au NO itategemea na aliyeuliza aliwekaje swali lake,hivyo unaweza kuwa na majibu mawili tofauti.

Kama unaona hivyo, tuanzie hapa kwa mfano:

Jaza "YES" au "NO" katika hii:....I am stupid.

Itakuwa:

(Are you stupid?):YES I am stupid

au (Aren't you stupid?): NO I am stupid
 
NO haiendani na I don't... No haiendani na I am stupid

Kwa hiyo kwa swali la kwanza ni YES, Swali la pili ni YES na swali la tatu YES

Haya 'wazungu' njooni humu mnicheke....ila hilo neno sence...mmmmh nadhani ni sense.
Mfano: Do you do drugs? No, i dont do drugs (najua sio kiingereza ulichozoea)......bado unasema NO haiendi na I dont?
 
Jaman kwa wale walisoma English Language A Level ile topic ya Phonology nomaa na Intonation balaaas
 
in standard English there is no double negation so ......... ??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…