Wajameni hebu angalieni hiki kipande cha taarifa ya gazei la habariLeo la tar 31/01/09 kuhusu mgogoro kati ya TFF na ZFA;
Vyama hivi viwili vimekuwa vikitofautiana kila mara , inakuwa kama maji kupwaa na kujaa. Lakini tofauti na siku za nyuma, ambapo baadhi ya viongozi wa vyama hivyo walihusika ktk kutupiana lawama, safari hii sual la TFF na soka la Zanzibar liliibuka ktk kikao cha baraza la waakilishi.
Ktk kikao hicho ilielezwa kuwa TFF haitendi haki kwa maendeleo ya kandanda Zanzibar, kauli ambayo ilitolewa na na nibu wazir wa habari, utamaduni na michezo-zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo wakati akijibu swali na Said khelef Ali (CCM, Bubwini) alyetaka kujua juhudi za SMZ ktk kuinua soka, ikiwemo ushiriki wa wachezaji wa Zenj ktk timu ya taifa.
"Hatna furaha na jinsi TFF ilivyo, ninasema hili wazi kuwa Zenj haifaidiki naTFF, chombo hiki kinapaswa kusimamia pande zote 2. Lakini tutaendelea kupigania haki zetu dani ya TFF" alisema Naib waziri. Alisema Tff hasaidii zenj ktk mambo mengi ikiwemo fedha za kila mwaka toka FIFA, nahaishiriki ktk kutafuta wachezaji bora kwa ajili ta taifa stars.
Alienda mbali zaidi aliposema TFF inafikiri ni ya Bara pekee na kwama mtizamo wa TFF kwa Zenj unamkatisha tamaa hata kocha Marcio Maximo kwenda huko kutafuta vipaji baada ya kuiona timu ya vijana ktk mihuano ya challenge huko uganda. Mambo mengine inayolalamikiwa TFF ni kuwa inapanga bajeti ya Maximo kzungka ikoa yote ya Bara pekee, haimpeleki ZANZIBAR"
Wanajamii hivi hawa watu wanatuona watanganyika hatuna akili ya kutosha au vipi? Hivi michezo ni suala la muungano? je TFF ni ya muungano? Kwanini hela ya TFF ukiacha kuoka fifa zitumike kuinufaisha zanzibar ilhali wanachama chao ZFA?
Wanajukwaa hasa kutoka Zanzibar naomba mnisaidie ktk maswali yangu hayo

Awali ya yote inabidi utuombe radhi sisi wazenj kwa kutuita wanafiki ilhali hujui chochote kuhusu mstakabala wa soka la Tz. Aidha maswali yako yote hapo juu yanaonyesha ni kwa namna gani hujui kinachoendelea katika TFF na ZFA. Lakini kwa kuwa unataka kufahamishwa nitakuelezea kwa ufupi tu, na iwapo unahitaji mengi unaweza kutembelea ukumbi wa Michezo hapa JF na kuna bandiko la kona ya Soka la Zenj na mabandiko mengine ambayo yanaelezea matatizo kati ya TFF na ZFA... Haya yote yapo ndani ya JF.Wajameni hebu angalieni hiki kipande cha taarifa ya gazei la habariLeo la tar 31/01/09 kuhusu mgogoro kati ya TFF na ZFA;
Wanajamii hivi hawa watu wanatuona watanganyika hatuna akili ya kutosha au vipi? Hivi michezo ni suala la muungano? je TFF ni ya muungano? Kwanini hela ya TFF ukiacha kuoka fifa zitumike kuinufaisha zanzibar ilhali wanachama chao ZFA?
Wanajukwaa hasa kutoka Zanzibar naomba mnisaidie ktk maswali yangu hayo
NAdhani tatizo haliko TFF bali kwa ZFA na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutoelewa kuwa iwapo TFF ikitoa msaada au kuwa na programu ya soka Zanzibar ni hisani tu. Hii ni kwa Kuwa FIFA inaitabua TFF tu na si vyama vingine vinavyohusiana na TFF. Kwa maana hiyo ZFA/Zanzibar wakipata msaada wowote kutoka TFF ni hisani tu; ZFA ni wanachama wa CAF na ikiwa kuna programu au msaada wowote kutoka CAF basi wanapata kama vile wanavyopata TFF maana wako sawa mbele za CAF.
Suluhisho ni ZFA na Serikali ya Zanzibar kutafuta kwa nguvu zote kutambuliwa na FIFA ili waweze kuwa wanachama.
Alternatively. ni kuinyan'ganya majukumu TFF ambayo imeiyapora kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hiyo inaweza kufanyika kwa kuunda Chombo chengine huru cha Michezo chenye sura ya Jamhuri ya Muungano (tofauti na ZFA na TFF) ambacho kitachukuwa majukumu pamoja na yale ya uanacha wa FIFA na kuwajibika kwa niaba ya wanamichezo wote katikameneo la Jamhuri. TFF na ZFA zote zitabaki bila uanachama wa FIFA na zitaendeleza soka katika sehemu zao (Bara na Zenj) bila ya kubughudhiana na na kuingiliana.Awali ya yote inabidi utuombe radhi sisi wazenj kwa kutuita wanafiki ilhali hujui chochote kuhusu mstakabala wa soka la Tz. Aidha maswali yako yote hapo juu yanaonyesha ni kwa namna gani hujui kinachoendelea katika TFF na ZFA. Lakini kwa kuwa unataka kufahamishwa nitakuelezea kwa ufupi tu, na iwapo unahitaji mengi unaweza kutembelea ukumbi wa Michezo hapa JF na kuna bandiko la kona ya Soka la Zenj na mabandiko mengine ambayo yanaelezea matatizo kati ya TFF na ZFA... Haya yote yapo ndani ya JF.
ZFA ni sehemu ya TFF na inawajibika kupatiwa mgao wa FIFA ambao hupewa TFF kwa niaba yao. Jumla ya dola 250,000 hutolewa na FIFA kwa soka la TZ kila mwaka, na ZFA kwa muda wote imekuwa ikinyima fungu lake kutokana na mgao huo wa FIFA. Zaidi TFF imekuwa ikirudisha nyuma maendeleo ya soka visiwani huo kwa kuvaa sura mbili mbili. Pale kwenye neema uamua kukaa kimya kama vile hakuna kitu kinachoitwa ZFA, aidha wanapokuwa na shida na hasa kama suluhisho litakuwa Zenj hujitia kuitambua ZFA. Unaweza kuangalia pale Maximo alipokuwa anahitaji kocha wa magolikipa wa Taifa Stars na alimpendekeza Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ambae ni mzenj na katika kipindi hicho alikuwa na kibarua cha kufundisha soka visiwani humo. TFF walikwenda mbio sana kumpata kocha huyo tena kwa njia zakinyamela. Sasa hapa unaweza kuona ni nani Mnafiki... Watu wa Bara ama Visiwani?
ZFA ambayo bado kupata uanachama wa kudumu toka CAF, ambao ni muhimu ili kuweza kutambuliwa na FIFA hivyo kutokuwa na sababu ya kubanana na TFF. Hadi siku ambayo FIFA itaitambua ZFA, ni wajibu wa TFF kuona kwamba ZFA inapata mgao wake na ni wajibu wake kuona kuwa kuna uwiano sawa katika maendeleo ya soka katika sehemu hizi mbili za muungano.
Hawalalami ovyo. Wao ni nchi walioamua kwa makusudi kuingia katika Jamhuri ya Muungano. Wanapokosa haki zao za Ki-nchi lazima wazipiganiye.Yakhe Bzazazi tusha wazaoea hawa ndugu zetu.Kulalama kwao ni jadi.Wanikumbusha wakati wa utoto nikitamani kuvaa kiatu namba 10
Awali ya yote inabidi utuombe radhi sisi wazenj kwa kutuita wanafiki ilhali hujui chochote kuhusu mstakabala wa soka la Tz. Aidha maswali yako yote hapo juu yanaonyesha ni kwa namna gani hujui kinachoendelea katika TFF na ZFA. Lakini kwa kuwa unataka kufahamishwa nitakuelezea kwa ufupi tu, na iwapo unahitaji mengi unaweza kutembelea ukumbi wa Michezo hapa JF na kuna bandiko la kona ya Soka la Zenj na mabandiko mengine ambayo yanaelezea matatizo kati ya TFF na ZFA... Haya yote yapo ndani ya JF.
ZFA ni sehemu ya TFF na inawajibika kupatiwa mgao wa FIFA ambao hupewa TFF kwa niaba yao. Jumla ya dola 250,000 hutolewa na FIFA kwa soka la TZ kila mwaka, na ZFA kwa muda wote imekuwa ikinyimwa fungu lake kutokana na mgao huo wa FIFA. Zaidi TFF imekuwa ikirudisha nyuma maendeleo ya soka visiwani huo kwa kuvaa sura mbili mbili. Pale kwenye neema uamua kukaa kimya kama vile hakuna kitu kinachoitwa ZFA, aidha wanapokuwa na shida na hasa kama suluhisho litakuwa Zenj hujitia kuitambua ZFA. Unaweza kuangalia pale Maximo alipokuwa anahitaji kocha wa magolikipa wa Taifa Stars na alimpendekeza Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ambae ni mzenj na katika kipindi hicho alikuwa na kibarua cha kufundisha soka visiwani humo. TFF walikwenda mbio sana kumpata kocha huyo tena kwa njia zakinyamela. Sasa hapa unaweza kuona ni nani Mnafiki... Watu wa Bara ama Visiwani?
ZFA ambayo bado kupata uanachama wa kudumu toka CAF, ambao ni muhimu ili kuweza kutambuliwa na FIFA hivyo kutokuwa na sababu ya kubanana na TFF. Hadi siku ambayo FIFA itaitambua ZFA, ni wajibu wa TFF kuona kwamba ZFA inapata mgao wake na ni wajibu wake kuona kuwa kuna uwiano sawa katika maendeleo ya soka katika sehemu hizi mbili za muungano.
Kibu, kama ZFA ni sehemu ya TFF basi haina tofauti na TEFA na kwa uwa TFF inawajibika kitaifa na si kimkoa. Kuhusu ZFA kunyimwa fungu lake, una uhakika ni Dola ngapi na katika mgao huo kiasi hicho cha pesa huainishwa?
Suluhu ni moja tu ZFA itafute uanachama FIFA kama ilivyofanya kuutafuta wa CAF
Wakati walipo ambiwa hao hao Zanzibar sio nchi walipiga keleleeeee sana sasa je munaamini kama hakuna nchi hapo? kila kilakitu lazima mabwana wakubali kwanini musikubali moja tu kusuka au kunyoa kwani sasahivi hakuna majibu ya kuwajibu watu wenu katika kila idara
Bahati mbaya hamko tayari kwa hilo na hapa ndipo neno UNAFIKI linapostahili. Eti ZFA ni sawa na TEFA, ni sawasawa na wale wasemao Zanzibar ni sawa na Mwanza
Hawalalami ovyo. Wao ni nchi walioamua kwa makusudi kuingia katika Jamhuri ya Muungano. Wanapokosa haki zao za Ki-nchi lazima wazipiganiye.
Mhe Mod; hii mada ni ya hapa kwani mezungumzwa jengoni na sio michezo kama baadhi ya watu watakavyofikiria, plz usiihamishe.
Wajameni hebu angalieni hiki kipande cha taarifa ya gazei la habariLeo la tar 31/01/09 kuhusu mgogoro kati ya TFF na ZFA;
Vyama hivi viwili vimekuwa vikitofautiana kila mara , inakuwa kama maji kupwaa na kujaa. Lakini tofauti na siku za nyuma, ambapo baadhi ya viongozi wa vyama hivyo walihusika ktk kutupiana lawama, safari hii sual la TFF na soka la Zanzibar liliibuka ktk kikao cha baraza la waakilishi.
Ktk kikao hicho ilielezwa kuwa TFF haitendi haki kwa maendeleo ya kandanda Zanzibar, kauli ambayo ilitolewa na na nibu wazir wa habari, utamaduni na michezo-zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo wakati akijibu swali na Said khelef Ali (CCM, Bubwini) alyetaka kujua juhudi za SMZ ktk kuinua soka, ikiwemo ushiriki wa wachezaji wa Zenj ktk timu ya taifa.
"Hatna furaha na jinsi TFF ilivyo, ninasema hili wazi kuwa Zenj haifaidiki naTFF, chombo hiki kinapaswa kusimamia pande zote 2. Lakini tutaendelea kupigania haki zetu dani ya TFF" alisema Naib waziri. Alisema Tff hasaidii zenj ktk mambo mengi ikiwemo fedha za kila mwaka toka FIFA, nahaishiriki ktk kutafuta wachezaji bora kwa ajili ta taifa stars.
Alienda mbali zaidi aliposema TFF inafikiri ni ya Bara pekee na kwama mtizamo wa TFF kwa Zenj unamkatisha tamaa hata kocha Marcio Maximo kwenda huko kutafuta vipaji baada ya kuiona timu ya vijana ktk mihuano ya challenge huko uganda. Mambo mengine inayolalamikiwa TFF ni kuwa inapanga bajeti ya Maximo kzungka ikoa yote ya Bara pekee, haimpeleki ZANZIBAR"
Wanajamii hivi hawa watu wanatuona watanganyika hatuna akili ya kutosha au vipi? Hivi michezo ni suala la muungano? je TFF ni ya muungano? Kwanini hela ya TFF ukiacha kuoka fifa zitumike kuinufaisha zanzibar ilhali wanachama chao ZFA?
Wanajukwaa hasa kutoka Zanzibar naomba mnisaidie ktk maswali yangu hayo
Michezo sio suala la muungano, katika hati ya muungano kuna baadhi ya mambo ambayo hutekelezwa na serikali ya jamhuri ya muungano na yaliyobaki hutekelezwa na serikali ya mapinduzi ya zanzibar kwa upande wa zenji.Ndiyo maana utaona kuwa kuna wizara za michezo pande zote; zanzibar na 'tanganyika'. Zanzibara kuna waziri wake Juma shamhuna na naibu wake thabiti kombo ilhali 'tanganyika' kuna waziri wake mchukika na naibu wake bendera.
Kwahiyo wazenji hawana sababu ya kulalama saaaana; kwanza wao ni nchi lakini pili wanayo wizara yao ya michezo, wanacho chama chao cha soka zfa. Badala ya wazenji kujadiliana kutafuta maelewano baina ya serikali yao na zfa wanabaki kuilaumu tff.Kila kukicha tunashuhudia ugomvi na malumbano baina ya zfa na shamhuna, ni lini watazungumzia maendeleo ya soka?wanategemea soka lao likue kimiujiza?
Pamoja na mapungufu mnayoyaona kwa mleta hoja, suala la wazenji kuwa wanafiki halijifichi, na mifano ni mingi sana wajameni acheni kulalama.
acheni migogoro mshirikiane kuinua soka la zenji.Kila siku ni zfa ni purukushani tu mara shamhuna mara maulid hamad mara hafidh tahir, yaani vurugu tupu.[/QUOTE
Sadakta. Suala la michezo si la Muungano na TFF kwa muda mrefu imepora bendera yetu ya Taifa (Muungano) katika shughuli zake. Tubadili mambo sasa bendera hiyo ichukuliwe na ZFA (zamu yake imefika). TFF iachie ngazi (uanachama) wa FIFA na ZFA iingie huko na kukomba haki zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TFF kama inataka kuwemo FIFA basi na iombe kivyake (kama vile ilivyohangaika bila ya mafanikio ZFA) Hili suala ni jepesi kabisa. Upo?