mkuu jikite kwenye siasa, haya mambo yanaweza kukupotezea mwelekeo.Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.
Unajua tafsiri ya wanachokifanya kwa sasa? Usikurupuke na kupost vitu kwa chuki.
unajua tafsiri ya wanacho kifanya kwa sasa?usikurupuke na kupost vitu kwa chuki.
Mkuu baada ya miaka 10tu na siyo 30... DUNIA nzima itakuwa ina DAMU ya kiaarabu!! BABA wa vizazi wote kaunhi hii wameumbiwa WAARABU wee tazama ushuhudie......!!!Umeona FITINA zilivyowaumbuwa hao wa magharibi... limenuka na kuibukia kwao!!! jogi Gidbang m-colour Majorhajui kuwa watu wanakimbilia ulaya kimkakati...
na jinsi wanavyozaliana baada ya miaka 30,sijui ulaya itakuaje...
Wanaenda ulaya kuwasilimisha na kuwafundisha ustaaraf....subur uone after 20 yrs...Italy itakuwa na misikiti ya kutosha tu.....
Uarabu sio uislam. watu wengi wana tabia ya kunasibisha uarabu na uislam. Kumbuka kuna biblia zimeandikwa kwa lugha za kiarabu. Sio kweli kwamba wote wanaokimbilia kule ni waislam. Ndio maana nchi nyingine wanasema tutawapokea waarabu wasio waislam.
Namaanisha wakati Rwanda, Burundi, na hata Juzi hapo kenya palipochafuka, Watanzania tuliwapokea Kama wakimbizi. Na tuliwagawia japo kidogo tulichokuwa nacho. Je hao Waarabu wanaojiita matajiri wameshindwa vipi kuwasaidia ndugu zao? Nina wasi wasi na mabusu Yao fekWakimbizi wa kiarabu wameanza kuja huku Tanzania pia au sijakuelewa hapo
Ujio mwema na kwa HESHIMA zote, Kama lafudhi ya kiume itakuwepo kwa pande zote mbili basi ntaendela, Ila pakiwepo matusi basi ntastaafu!! (maana sote tuna ulimi pata huu.... washiriki wote walijue hilo)Mkuu sana Zamiluni Zamiluni, tafadhali rejea tena na utoe ufafanuzi wa hiki ulichoandika. Sijakupata viziri