Unafiki wa Viongozi wa Tanzania...

Unafiki wa Viongozi wa Tanzania...

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,848
Reaction score
1,412
Unafiki....jpg

Ona unafiki wa Viongozi wa Tanzania, sio mara ya kwanza kuona Pinda,..wakuu wa Wilaya...waalimu wakuu... wakipanda miti huku ametandikiwa kanga...mikeka...ili wasichafuke (eti ni wasafi sana) sasa kwa sababu wenzetu wakiamua kufanya jambo huwa wanamaanisha eti na pinda anajidai hana shida kukanyaga udongo.. na kushi vumbi.... kisa yupo na mzungu.... huu ni upuuzi!!!
 
View attachment 31945

Nami kwenye taarifa ya habari nikaliona. Nikashangaa taulo haipo. Vingozi wetu Mmmmmmm!!!!!!!!!!
 
teheteheeeee, siku zao za kufanya huo unafki zinahesabika!!!
 
hata bustani yangu ni nzuri kuliko hii........
 
si unafiki huu bali ni UJUHA. Unajua viongozi wetu wanajifanya Miungu watu na ndo maana nchi za Kiafrica zimewekwa mikononi mwa familia za watu wachache wasio na akili na hakuna maendeleo.
 
:A S cry:ukija kuangalia hesabu huo uchochoro wanaopanda mti!
hesabuyake waweza kukuta milion 10.i hate magamba
in all ways yaani ni full magumash:der:
 
Back
Top Bottom