Unafiki wa TCU

Huwa mimi sikubaliani na hii falsafa kwa sababu; laiti Plato angekuwepo kipindi cha Sir Isaac Newton angeikana falsafa yake. Newton alionekana ana uwezo mdogo sana darasani. Kwa mujibu wa Plato angeitwa Iron boy. Lakini tazama mchango wa Newton katika dunia hii. Hivyo kuna kitu ambacho si cha kawaida katika akili za binadamu ambacho hakiwezi tu kuwa determined na grades za darasani. Je, hao wanaofanya vizuri darasani ndiyo wanaotoa mchango mkubwa hapa duniani? What's about Thomas Edson, ambaye aliondolewa shuleni kwa ajili ya uzito wake wa akili? Hata kusoma na kuandika kafundishwa na mama yake nyumbani. Lakini ndiye mtu aliyeifanya dunia kupata mwanga wa umeme kwa ugunduzi wake wa bulb.
 
Hoja yako ina ukweli fulani, kwa kuwa hata mtaalam wa Microsoft, nadhani alikimbia shule. Lakini kwa kuanzia lazima tuwe na "standards" ingawa haziondoi uwezekano wa kuwa na "extreme cases" kama unazosemea hapa.
 
Mimi naona pamoja na kuwepo standards, tusiweke viwango vinavyolenga kupunguza watu kupata elimu. Ukitazama vizuri hivi viwango vilivyowekwa, kuna zaidi ya viwango. Hivi kweli mtu mwenye Upper second ya diploma ndiye anayefaa tu kusoma degree! Hiyo GPA ya 3.5 wakati mwingine ndiyo anayoipata third best performer wa DIT. Ukiangalia hawa wa kidato cha sita, mtaala wa masomo ya sayansi ulivyo kwa miaka miwili siyo rafiki kabisa. Leo aliye hata na Principal pass 3 za EEE hatakiwi kwenda chuo kikuu. E ambayo ni 40-49. Nashawishika kusema hapa kuna zaidi ya viwango.
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
sasa wewe ndugu yangu shule yenyewe hiyo ni HKL tupu alafu unajidai mbele za watu et unavigezo...si ukae kimya tu
 
Umetumwa eeeh? Aliyekutuma mwambie aje mwenyewe.
 
hii huwa ni bahati mbaya huwa hatujadiri kifo maana hata mtoto wa tajiri huweza kuporomoka kimaisha pale atapofiwa na wazazi wake, na umasikini ndio uliowatoa watanzania wengi kwa kuwa na uchungu na kuuchukia umasikini! ukiuchukia umaskini hata usipokua na elimu ya kidato cha nne tu utapambana wanao waje waipate kwa Gharama yoyote ya jasho lako, tatizo kubwa lililopo ni kugeuzwa geuzwa kwa elimu yetu akija huyu anasema DISTINCTION akija yule anasema No Division basi ni Tafrani hata huelewi, tungekua na mfumo mmoja usiochezewa hata aje nani hakika Tanzania tungeheshimiana, maana hata hawa watoto wetu wasingelikua wazembe MTU mwenye nia hawezi kuogopa viwango vilivyowekwa akavifahamu anatakiwa avivuke! TUACHE MATAMKO KWENYE ELIMU TU SET STANDARDS AMBAZO HAZITACHEZEWA HATA KWA MIAKA 20
 
kama huna sifa Mbele ya wataaramu wala usijipe nafasi ya kujisifia kichwan mwako binafsi! kumbuka Mali bila Daftari hupotea bila habari, so we kaza utimize vigezo wala usilete malalamishi hapa ooh Mara utajiajiri na matakataka yako kibao kama Huna vigezo baki huko huko chini ukajiajiri kwani kina Mangi wote wanaelimu ya biashara? nendeni mkaungane huko badala ya kutujazia population kubwa ya graduate isiyo na sifa pambanuzi
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
mnafiki mkubwa wewe,itaje hiyo shule ambao wote mnasifa za kwenda chuo.forum hii haikuhusuuu tokaaaaaaaaaaaaa
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
haya ndo madhara ya elimu ya kata,unatapika maharage kwenye forum za watu .angalia taarifa za necta kuhusu ufaulu wa shule za kata ,sio unakurupuka
 
unamwako kidogo,yaani ni hivi mtu kusoma diploma isiwe kwa sababu kafeli kosoma degree,ila aamue mwenyewe kuisoma diploma,na serikali irekebishe muundo wa utumishi
 
Povu kwel limekutoka.
Lakn mm n mmoja wapo wa dhao la shule izo za kata unazosema hazina mazingira na vitu rafk katka elimu.
Lakn katka shule yetu wote tuna vigezo vya kwenda chuo.
wewe utakuwa ulifeli shule hata kiswahili kinakushinda ona ' dhao=zao'
 
Unafikia wa TCU niliuona kwenye sakata la Kampala int. University.. Watu wamepangiwa pale wamesoma weeeeee mwisho wa siku chuo hakijasajiliwa.. Ilikuje kumpangia mtu chuo kisichosajiliwa...?
 
Huko chini ni wapi? Sidhani kama hata umeelewa wala sitarajii kunielewa. Wewe unaishi katika hisia. Vipi unaposema wanakujazia population, unamaanisha population ya kutafuta ajira? Aisee sasa wewe msomi wa Tanzania umeshindwa hata kucontrol hisia? You are very emotional. Kwa spidi uliyokuja nayo nimeshindwa kukutofautisha na hao wasiokuwa na vigezo.
 
haya ndo madhara ya elimu ya kata,unatapika maharage kwenye forum za watu .angalia taarifa za necta kuhusu ufaulu wa shule za kata ,sio unakurupuka
Mchezo hauitaj hasira.
Kama vigezo hauna hauna tu acha kuishawish government ikuonee huruma
 
I'm sorry, naomba kuuliza tofauti na ulivyosoma katika taaluma yako umesoma vitabu gani ambavyo angalau vimekupa broad knowledge? May you try reading psychological books? Will help you.
 
I'm sorry, naomba kuuliza tofauti na ulivyosoma katika taaluma yako umesoma vitabu gani ambavyo angalau vimekupa broad knowledge? May you try reading psychological books? Will help you.
Kama huna sifa ya kwenda chuo kikuu we kaa benchi mjomba, wala usijipenyezee hoja zako ambazo hakiza nafasi kwa sasa! Kama upo shule kaza msuli utilize vigezo na kama ni muhanga angalia alternative nyingine, na sio kuelekeza watu vya kusoma
 
Ngoja nikwambie kijana mimi Nina ajira yangu tayari wala sina mpango wa kutafuta vigezo kama wewe! Cha kufanya fikiria namna nyingine itayokuwezesha kwenda chuo kikuu kama umejaza ma D D ukitarajia ule utelezi wa mkwele jua umekwisha mwaka huu wapo watu wanaokaba mpka penati MTU ambaye alikataa kubadiri matokeo ya mkwele kwa ticket ya kutanua goli mwaka ule wa 2013 kama njia ya kuwaokoa kina Shukuru na wenzie kwa kupitia watahiniwa wa 2012, nakushauri fikiria namna nyingine ya kupambana na si kupinga viwango msambamba vyenye kwenda na lengo La kuwaondoa vijana wavivu wa kusoma ambao tumeng'ang'ana kuwapa hadhi ya Kuwaita wanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…