Unafiki wa Mataifa Makubwa Kuhusu Silaha za Nyuklia

Pekejeng

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
827
Reaction score
2,229
Kiukweli, sipendi vita wala sishabikii matumizi ya nguvu katika kutatua migogoro ya kimataifa. Lakini inasikitisha mno kuona mataifa yanayojiona kuwa “ya kidemokrasia” na “yenye maadili ya juu” yakijihusisha katika kampeni za unafiki na uharibifu wa wazi. Hapa nazungumzia hasa Marekani na washirika wake, akiwemo Israel, kuhusu msimamo wao juu ya umiliki wa silaha za nyuklia.

Mataifa haya mara kwa mara hujitokeza hadharani yakipinga baadhi ya nchi kama Iran kumiliki silaha za nyuklia kwa madai kuwa zitakuwa tishio kwa dunia. Lakini tunapochunguza historia, hali halisi ni ya kushangaza na ya kusikitisha.

Kwa mfano, Marekani ndiyo nchi ya kwanza na pekee duniani kutumia silaha za nyuklia dhidi ya binadamu. Mwaka 1945, wakati wa Vita ya Pili ya Dunia, Marekani ilirusha mabomu ya atomiki juu ya miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japani – taifa ambalo halikuwa na silaha za nyuklia wala uwezo wa kujibu mashambulizi hayo. Kilichosikitisha zaidi, mabomu hayo yalishushwa makusudi katikati ya makazi ya watu – sokoni, mashuleni, hospitalini – na kupelekea vifo vya zaidi ya watu 200,000 wasio na hatia. Hili lilikuwa tukio la kikatili lisilo na mfano.

Tukirudi kwenye suala la Iran na Israel. Iran, licha ya kuwa inatuhumiwa mara kwa mara kuwa “tishio kwa amani ya dunia,” imekuwa mwanachama wa Mkataba wa Kuzuia Ueneaji wa Silaha za Nyuklia (Nuclear Non-Proliferation Treaty – NPT), na imekubali ukaguzi wa mara kwa mara kutoka kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (International Atomic Energy Agency – IAEA).

Kinyume chake, Israel haijawahi kusaini mkataba huo na imekuwa ikikataa kuruhusu ukaguzi wowote wa silaha zake. Licha ya hayo, dunia nzima inafahamu kuwa Israel inamiliki silaha nyingi za nyuklia lakini haijawahi kukiri wala kukanusha.

Kitu cha kujiuliza ni hiki: kama kuna nchi yoyote inayopaswa kuhisi tishio la kuwepo, si Israel bali ni Iran maana Israel anaweza kufanya kama alichofanya marekani dhidi ya Japan.

Mataifa yote yapaswa kuwajibika kwa viwango sawa. Vinginevyo, tunajenga dunia ya unafiki, ubabe na hofu isiyoisha.
 
—❗️🇮🇷/🇮🇱 Major General Mohsen Rezaei: 'Our enriched uranium stockpiles were moved to secure and secret locations long ago'

@Middle_East_Spectator
 
survival for the fittest ndo slogan ya dunia
 
Mtu anadhamini wale jamaa wa "Death to America, Death to Israel."

Moja ya ndoto zao ni kutokuwa na Myaudi hapa duniani, halafu amiliki hiyo chuma. Oya wewe!
 
Naunga mkono hoja.

Iran inaonewa tu na hawa mabeberu, Israel Ina silaha za nyuklia ila haijawekewa vikwazo vyovyote au kushinikizwa kusalimisha hizo silaha.
 
Hata Ukraine ilinyang'anywa silaha zake za nyuklia
Ukraine haikunyang'anywa bali iliingia makubaliano japo hayo makubaliano yalikuja kuvunjwa na urusi na ndio maana mjadala wa nani anapaswa kumiliki silaha za nyuklia hautakiwi kuwa ni waupande mmoja
 
Nani aliwapa ruhusa Marekani na wengine kuwa na silaha za nyuklia?
Hakuna chombo cha kimataifa kilichowapa ruhusa waliunda silaha hizo kwa ajili ya vita, kisha wakajitangazia kuwa wao tu ndiyo wanastahili kuwa nazo. Hata ilipokuja kuundwa NPT hayo mataifa yalikuwa tayari na hizo silaha na yaliruhusiwa kuendelea kuwa nazo mataifa mengine ndo yakaanza kuwekewa vikwazo
 
Hakuna silaha ya nuclear iliyowahi kutumika ila bomu ililo tumika ni atomic bombs linafanana na jamii ya nuclear kule japan hata hivyo ilikuwa ni ya zamani sana hata uwezo wake ni mdogo.

Mabomu ya sasa hivi yanaitwa nuclear ni mjumuiko wa atomic bombs na fusion au thermonuclear hii ni salaha yenye nguvu sana zaidi ya zile atomic za miaka ya 90

Kwanini iran haruhusiwi kuwa na silaha hizo ni kwasababu ya kuhofia itikadi zake kali za kidini, kwamba kuna uwezekano mkubwa wa iran kulitumia bomu hilo kwa mara ya kwanza hii ni tishio kwa dunia kwa ujumla.

Dunia itashuhudia bomu hilo likilipuliwa endapo iran itamiliki kuna uwezekano wa asilimia nyingi kulitumia hii ndio sababu haruhusiwi.

hata wenye silaha hizo wameanza kuzipunguza uwezo wake kwani zinaweza kuathiri dunia na kwamba kuna mpango wa kuacha kabisa kuzitengeneza silaha hizo sasa wale walio kuwa nazo wameanza kuzipunguza uwezo wake na kushinikiza kuachana nazo ni vipi Iran aruhusiwe kutengeneza.

Anyway kama unaakili timamu na unafuatilia suala hili utaelewa kwanini iran haruhusiwi kuwa nazo kiduku nimesikia anazo lakini uwezo wa kuzitumia ni mdogo sana ndio maana wamemuacha lakini iran uwezo wa kuzitumia ni mkubwa sana.
 
Mzee kiduku hacheki na yeyote kajifungia zake uko jikoni katoka na nuclear, saiv US anaenda kwa heshima pale
Kiduku uwezo wa kutumia nuclear ni mdogo sana hebu acha story za vijiweni ulishwai kusikia hata watoto walipo pungua kiduku alikuwa analia ? anawaambia zaeni anawajali raia wake hana itikadi za kidini hafadhili magaidi, hivyo sio tishia na hata ikitokea vita leo kiduku na marekani kuna uwezekano mdogo wa kutumia silaha hizo.
 
Hiyo inaitwa national level hypocrisy. Marekani anajua Iran hatothubutu kutumia nuclear kivyovyote kwa yoyote. Hasichokitaka ni kuona balance of power na Arab origin countries ambazo haziendani na western ideologies. Hicho kitu kitabadilisha mfumo mzima wa dunia tuujuavyo.
 
unamawazo negative sana, hujui unachokiongea ni ukosefu wa elimu
 
Hiyo inaitwa national level hypocrisy. Marekani anajua Iran hatothubutu kutumia nuclear kivyovyote kwa yoyote. Hasichokitaka ni kuona balance of power na Arab origin countries ambazo haziendani na western ideologies. Hicho kitu kitabadilisha mfumo mzima wa dunia tuujuavyo.
Yani watu wananishangaza sana wanazani silaha za nuclear ni kama pipi kwa jinsi wanavyo ziongelea na mawazo mgando.

Umoja wa mataifa umeanza mpango wa kuacha kuzitengeneza silaha hizo hatari na hata nchi zenye nguvu wameanza kuzipunguza uwezo wake.
 
Hakuna silaha ya nuclear iliyowahi kutumika ila bomu ililo tumika ni atomic bombs linafanana na jamii ya nuclear kule japan hata hivyo ilikuwa ni ya zamani sana hata uwezo wake ni mdogo.

Mabomu ya sasa hivi yanaitwa nuclear ni mjumuiko wa atomic bombs na fusion au thermonuclear hii ni salaha yenye nguvu sana zaidi ya zile atomic za miaka ya 90

Kwanini iran haruhusiwi kuwa na silaha hizo ni kwasababu ya kuhofia itikadi zake kali za kidini, kwamba kuna uwezekano mkubwa wa iran kulitumia bomu hilo kwa mara ya kwanza hii ni tishio kwa dunia kwa ujumla.

Dunia itashuhudia bomu hilo likilipuliwa endapo iran itamiliki kuna uwezekano wa asilimia nyingi kulitumia hii ndio sababu haruhusiwi.

hata wenye silaha hizo wameanza kuzipunguza uwezo wake kwani zinaweza kuathiri dunia na kwamba kuna mpango wa kuacha kabisa kuzitengeneza silaha hizo sasa wale walio kuwa nazo wameanza kuzipunguza uwezo wake na kushinikiza kuachana nazo ni vipi Iran aruhusiwe kutengeneza.

Anyway kama unaakili timamu na unafuatilia suala hili utaelewa kwanini iran haruhusiwi kuwa nazo kiduku nimesikia anazo lakini uwezo wa kuzitumia ni mdogo sana ndio maana wamemuacha lakini iran uwezo wa kuzitumia ni mkubwa sana.
So Iran ambaye hana hizo silaha lakini anahofiwa kuwa akiwa nazo atazitumia.

Ina maana hizo hofu ni za upande mmoja tu?

Tunajua Israel naye anazo hizo silaha lakini hakuna anayemkataza kuwa nazo.

Iran haihofii kwamba ipo siku moja Israel itazitumia hizo silaha dhidi yake?

Hizi double standards zingine ni za kipumbavu sana.

Au Iran yenyewe haina hofu kwamba Israel inaweza kuzitumia dhidi yake?

Israel kuanzisha vita dhidi ya Iran ndo ushahidi madhubuti kabisa kuwa Iran nayo inastahili na ina kila sababu ya kuwanazo hizo silaha.

Kama Iran ingekuwa nazo hizo silaha Israel isingethubutu kuanzisha vita kama ilivyofanya.

Na hili liwe somo kwa mataifa mengine kuwa, yasipokuwa na hizo silaha, yanakuwa yamejiweka katika hali ya unyonge mkubwa sana ambapo yanaweza kuvamiwa muda wowote na Marekani na washirika wake.

Iran nayo ina haki na inastahili kabisa kuwa na silaha za nyuklia kama vile ambavyo Israel inazo na Marekani inazo.

Hakuna taifa lililo na haki zaidi ya kuwa nazo hizo silaha na hakuna taifa lisilo na haki ya kutokuwa nazo.
 
Back
Top Bottom