Unafiki wa Marekani kwenye mapambano dhidi ya ugaidi

Unafiki wa Marekani kwenye mapambano dhidi ya ugaidi

Echolima

Huna lolote unalojua wewe. Umejaza uharo mtupu hapa. Iran Huijui wala yemen huijui. Km Huna elimu Usiingie hapa Kujaza uchafu.
 
Last edited by a moderator:
...Jifunze Utamaduni Wakufuatilia Chimbuko La Mambo Usiwe Mpokeaji Wamwisho!Mtoa Mada Kaelezea Vizuri Ila Wewe Ndo Walewale Waliomezeshwa,unatia Aibu Ndugu!

Jamaa Ana chuki kali na uislam had chuki yake imevuruga akili kichwani mwake,,,mtoa mada anaelezea kingine,,

yeye kwakuwa kavimbilwa maharagwe yaliyo chacha had anaropoka
 
Waislam wote wanatetea ugaid kwa sababu za kijingajinga tu mungu gan uyo anapenda fujo na kumwaga dam za watu wasio na hatia kwanin wasipgane na wanajesh basi hua mnafundwa fujo miskitini au
 
Ni moja kati ya mataifa yanayomuandalia masih daj jal utawala wake chini ya The new world one as declared by bush jr na walitangaza kwamba hawana adui wala rafiki wa.kudumu sohakuna kushangaa kwa nini ana finace terrorists ili atimize interests zake nashangaa afrika tunavyowalea hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom