mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,059
- 132,509
Strabag ni mradi 'maalum" chini ya ofisi ya Waziri Mkuu.
ndomanaa unasua suaa
Strabag ni mradi 'maalum" chini ya ofisi ya Waziri Mkuu.
Mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi Mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu Magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekuwa kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo mengi yenye kero kama hiyo ila huyu bwana anayaogopa.
magufuli mkwala tu ona strabag wanavyofanya kazi inaonesha wamefeli.....alafu hao hao strabag walishafukuzwa ulaya na hawapewi kazi huko ndiyo wameletwa africa tanzaniaa na wamepewa tenda....magufuli angekua imaraa si angelijua hilo kablaa
kama unasema ni kazi ya wizara ya ardhi KWA HIYO NYUMBA ZOTE ZA VIGOGO/WANASIASA ZILIZO KWENYE HIFADHI YA BARABARA ZINASHUGHULIKIWA NA MAMA TIBAIJUKA alafu zote za walalahoi zinashughulikiwa na magufuli.??
Mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi Mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu Magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekuwa kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo mengi yenye kero kama hiyo ila huyu bwana anayaogopa.
majengo yaliyojengwa kadokado ya mito mbona Aruaha yako mengiMimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu
ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi Mayfair plaza wayabomoe ili maji yaendelee kwenda baharini yani hili eneo mvua kidogo tu maji yanajaa barabara yote ila cha ajabu Magufuli hata tu kuongelea hili swala hata mara 1 anaogopa wenye pesa ila angekuwa kajenga maskini hapo angebomolewa na kutolewa maneno ya kejeli si hapo tu yapo maeneo mengi yenye kero kama hiyo ila huyu bwana anayaogopa.
Kwani magufuli ni waziri wa ardhi?unapotoa uzi jaribu kuuliza hata kwa jirani la sivyo unaaibika ka hivi suala la vibali vya ujenzi wa tanesco,tmj na mayfair si lake
Nilikuwa siwajui hawa Strabag, kumbe ni hivyomagufuli mkwala tu ona strabag wanavyofanya kazi inaonesha wamefeli.....alafu hao hao strabag walishafukuzwa ulaya na hawapewi kazi huko ndiyo wameletwa africa tanzaniaa na wamepewa tenda....magufuli angekua imaraa si angelijua hilo kablaa
Unafukua makaburi; uzi wa mwaka 2014!Nilikuwa siwajui hawa Strabag, kumbe ni hivyo

ila naogopaHili jibu zuri sana mipuuzi kama hii Ni kuifukuza kama mbwa tu....tokapaTokapa
Hii ndiyo awamu itakayovunja rekodi za ufisadi.Acha mambo ya ajabu mkuu magufuli ni zaidi ya kiongozi siyo kama unavyodhani wewe kwenye fikra zako.