mdoe the thinker
Senior Member
- Dec 11, 2012
- 104
- 20
Usimguse mwalimu wangu wewee. Ana mawazo huru kama hajasema unachokipenda haina maana ni mnafiki. Ni ccm bt passive member
Hadi na wewe unamsuta gamba mwenzako? Unaona sasa mnavyojichanganya!!Sasa hapo unafiki wake ukwapi???kawa mkweli wa nafsi yake...na ungejua ukaribu wa Lwaitama na Kitila,basi ungejua Dr Lwaitama si mnafiki kwa kumkosoa hivyo Kitila....Soma aya ya mwisho utajua jinsi Lwaitama asivyo mnafiki
Hadi na wewe umeshindwa kumuelewa gamba mwenzako? Unaona sasa mnavyojigonga!Unafiki wake upo wapi sasa hapo.
Jf kama hujaisifia CDM basi wewe utaitwa mnafiki tu! Wala hiyo cdm yenyewe haina la maana ni udini na ukabila tu.
''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI .
Nionavyo:dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?
DOKTA MNAFIKI!!!!