Tumeshuhudia mjini zanzibar cuf wakiwahamasisha wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mchakato wa katika mpya kuzunguzia muungano wa mkataba,na zanzibar kumekuwa na makongamano tofauti ambayo yanaelimisha muungano wa mkataba ,muungano huu ni kuirudisha zanzibar hazi yake kimataifa na kitaifa,kuwa zanzibar huru.
Jee chadema ambao walikuwa wakijidai kuwa wanaipenda Tanganyika mbona wako kimpya ? Hata katika uchaguzi ulio pita waliweza kucukua majimbo mengi kutokana na sera yao wa serikali tatu.
Cha kushangaza katika mchakato huu wa katika wameshindwa kuhamasisha kurudishwa kwa Tanganyika au Jamuhuri ya Tanganyika ,na pia kuwahamasisha wananchi kuchagua muungano wa mkataba ?
Hapa kuna ulakini na chadema kwa sera zao,inaonekana wao wenyewe wanazikwepa. Au JK kawapa fupa ili kulinyamazia hili suala,munaikumbuka hutuba la TUNDU lissu katika bunge alivyo uchana muungano huu wa kisaniii ?

unaonyesha unapenda sana neno chadema ee.
kwa nini uwalinganishe na mke wa m2?
Namuunga mkono mleta hoja. Si ndio tunaamini kwamba CDM ni wa kweli kimsimamo na ndio wapinzani wa kweli? Tunataka kujua dira ya CDM katika muungano wanasimama wapi ili isije ikawa ndio CCM B badala ya CUF na NCCR.
'Ukweli ukidhihiri, Uongo hujitenga'
Tumeshuhudia mjini zanzibar cuf wakiwahamasisha wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mchakato wa katiba mpya kuzunguzia muungano wa mkataba,na zanzibar kumekuwa na makongamano tofauti ambayo yanaelimisha muungano wa mkataba ,muungano huu ni kuirudisha zanzibar hadhi yake kimataifa na kitaifa,kuwa zanzibar huru.
Jee chadema ambao walikuwa wakijidai kuwa wanaipenda Tanganyika mbona wako kimpya ? Hata katika uchaguzi ulio pita waliweza kuchukua majimbo mengi kutokana na sera yao wa serikali tatu.
Cha kushangaza katika mchakato huu wa katika wameshindwa kuhamasisha kurudishwa kwa Tanganyika au Jamuhuri ya Tanganyika ,na pia kuwahamasisha wananchi kuchagua muungano wa mkataba ?
Hapa kuna ulakini na chadema kwa sera zao,inaonekana wao wenyewe wanazikwepa. Au JK kawapa fupa ili kulinyamazia hili suala,munaikumbuka hutuba la TUNDU lissu katika bunge alivyo uchana muungano huu wa kisaniii ?
unaonyesha unapenda sana neno chadema ee.
kwa nini uwalinganishe na mke wa m2?
kazi ipo!
Chadema wamefuliaTumeshuhudia mjini zanzibar cuf wakiwahamasisha wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mchakato wa katiba mpya kuzunguzia muungano wa mkataba,na zanzibar kumekuwa na makongamano tofauti ambayo yanaelimisha muungano wa mkataba ,muungano huu ni kuirudisha zanzibar hadhi yake kimataifa na kitaifa,kuwa zanzibar huru.
Jee chadema ambao walikuwa wakijidai kuwa wanaipenda Tanganyika mbona wako kimpya ? Hata katika uchaguzi ulio pita waliweza kuchukua majimbo mengi kutokana na sera yao wa serikali tatu.
Cha kushangaza katika mchakato huu wa katika wameshindwa kuhamasisha kurudishwa kwa Tanganyika au Jamuhuri ya Tanganyika ,na pia kuwahamasisha wananchi kuchagua muungano wa mkataba ?
Hapa kuna ulakini na chadema kwa sera zao,inaonekana wao wenyewe wanazikwepa. Au JK kawapa fupa ili kulinyamazia hili suala,munaikumbuka hutuba la TUNDU lissu katika bunge alivyo uchana muungano huu wa kisaniii ?
Lini kulikuwa na uchaguzi wa kuchagua aina za muungano, Najua wewe ni ustaadhi lakini nahisi unakunywa pombe na kwa sasa umelewa.Tumeshuhudia mjini zanzibar cuf wakiwahamasisha wananchi katika kutoa maoni yao juu ya mchakato wa katiba mpya kuzunguzia muungano wa mkataba,na zanzibar kumekuwa na makongamano tofauti ambayo yanaelimisha muungano wa mkataba ,muungano huu ni kuirudisha zanzibar hadhi yake kimataifa na kitaifa,kuwa zanzibar huru.