Moja kati ya tabia ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM ni unafiki hasa wale viongozi wa juu ikitokea Rais aliyekuwepo madarakani analipendelea tabaka fulani basi humkingia kifua na kufumbia mabaya yake ila akija rais mwengne akiwatenga au kua na sera tofauti na zao wananza kukukosa kudhihaki kutusi na kutaka kuhama chama.
Kabla hujamuita ndg. POLEPOLE shujaa jiulize enzi za Magufuli alipokuwa kipenzi chake watu hawakutekwa hawakuuliwa na kupotea?. Je ndan ya ccm hakukuwa na dhulma ya kukatwa kwa wagombea na mengine mengi ?
Uchaguzi haukua wa ovyo vipi Uchaguzi serekali? A mitaa 2019 vipi uchaguzi mkuu 2020 je hakuyaona mbona alikua kimya.
Yeye na wenzake kina Dkt Bashiru aliy Job Ndugai walikua wanasema watatumia Ata vyombo vya dola kumuonhezea Magufuli mda wa kuongoza baada ya miaka yake 10 kuisha.
Leo katupwa Cuba nchi haina mbele wala nyuma Ata umeme hakuna umasikin sawa na karatu anakuja na barua ya kujiuzulu sababu Samia hana mda nae hajamuweka kipao mbele kama walivo makonda, sabaya, chalamila, Amos makala na wengine.
nenda kakoroge urojo huko kwenu, ya tanganyika yetu tuachie wenyewe. Usichokifaham ni kwamba yoyote atae kumboka mwazo kati ya Zanzibar na tanganyika basi itakua mwazo wa kugomboka mwengne