mdachi mdachi
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 118
- 138
Watanzania tumekuwa na kaunafiki fulani na km tusipojirekebisha itatugharimu sana
Kipindi cha kikwete kwa sisi ambao tulishakuwa na ufaham wa kufuatilia mambo ya siasa, Watz walikuwa wanalalamika na kusema kuwa nibora utawala(awamu) iliyopita wakimaanisha awamu ya rais mkapa, lakin hali hiyo ilikuwepo hata kipind cha rais mkapa kuwa afadhali ya awamu iliyopita yaan ya rais mwinyi, na kipind cha mwinyi hali ilikuwa n hivyo hivyo,
Kipind cha rais kikwete hali ilikuw hivyo hivyo kwamba afadhali awamu ya mkapa maana wakaanza kusema kuwa awamu hiyo imekuwa na ufisadi mwingi yaana utawala wa kikwete umekuwa na ufisad mwingi Watanzania hatukuridhika na mema yaliyokuwa yanapatikana kipindi/awamu hiyo, tukamtukana kila tusi na mzee wa watu akawa anavumilia yote,
Tukasema ni rais anayechekacheka mpole n.k
Akatuletea chuma mzee Magu tukapelekwa mputa mputa hakuna kumsema ovyo rais ukimsema unapotezwa, hakuna mikutano ya kisiasa na wengine wakakimbilia njee za nchi km wakimbizi wa kisiasa
Hapakuwa ajira za kutosha watoto wetu wakamaliza vyuo na kuendelea kukaa nyumban tukinyang'anyana dagaa huku tukiishi angalau tuzuie kufa tu maana hali ikawa mbaya hakuna kufanya maendeleo yoyote maana watoto wamejaa nyumban baada ya kumaliza vyuo maana kamshahara kakawa hakatoshi,
Bas watz tukaleta unafiki wetu tena kwa kuanza kusema kuwa afadhali utawala uliyepita maana pamoja na ufisad uliyekuwepo ilazee kikwete aliajiri ajira za kutosha kila mwaka na karibu kila mwaka alikuwa akiongeza mishajara
Tukamkumbuka sana na mpaka siku ile ameenda bungeni kwenye uapisho wa mke wake mama salma wabunge walishangiliana sio waccm wala wapinzani huku wakiimba tumekumissssssss mzee akaona isiwe tabu akatoka njee ili wabunge wasikilizane
Sasa likatokea la kutokea mzee magu akafariki akachukua nchi mama samia,
Watanzania tunaendeleza unafiki wetu kuwa afadhali ya Magu
Sasa hali hii inaweza kuwafanya viongozi wakawa wanatupuuza kwa kujua ni kawaida yetu kulalamika na kusifia utawala uliyepita
Na wakafikiri hata wao wakitoka madarakani ndio watasifiwa ila ukiwa madarakan huwez kusifiwa
Aminini mawaambia hata huyu mama akitoka madarakani watatokea watu watasema afahadli utawala wa mama
Watanzania tuache unafiki