hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Hiyo ndiyo ccm wananchi wakiambiwa tufanye mabadiliko utatukanwa na watu ambao wakienda hospital awapati huduma bora Shule wanazo soma watoto wao azina madawati
In short Wadaganyika wengi hawajielewi wanataka nini. Umaskini wanaona ni haki yao wana macho lakini hawaoni.
Ukiangalia lower class ndo waathirika wakubwa kuanzia elimu mbovu, miundo mbinu muhimu ka maji, na health services ndo mbaya lakini wamejitoa ufahamu.
Mpaka Leo watoto wanakalia majiwa. Ni aibu sana kwa nchi yangu pendwa
Hiz n kapen wameisha anza watamzania inabid tuwe na maamuz ya busara
Hiyo ndiyo ccm wananchi wakiambiwa tufanye mabadiliko utatukanwa na watu ambao wakienda hospital awapati huduma bora Shule wanazo soma watoto wao azina madawati
wewe hauelewi lazima serikali itoe taarifa kwa chama maana ndo kinawapa dhamana ya kutumikia wanachi ili kujua waliyoyafanya ,
In short Wadaganyika wengi hawajielewi wanataka nini. Umaskini wanaona ni haki yao wana macho lakini hawaoni.
Ukiangalia lower class ndo waathirika wakubwa kuanzia elimu mbovu, miundo mbinu muhimu ka maji, na health services ndo mbaya lakini wamejitoa ufahamu.
Mpaka Leo watoto wanakalia majiwa. Ni aibu sana kwa nchi yangu pendwa
Mi mkuu nimeelezea hali halisi ya maisha ya Mtanzania wa chini kuna vtu vingi haviitaji hata mambo makubwa just utekelezaji miaka hamsini ni mingi penye ukweli tuseme tu .nafikiri wao wameeleza wapi walianzia na walipofikia na hawajasema wamemaliza na duniani kote hakuna serikali iliyomaliza ,hata marikani na utajiri wao bado wanalia na ajira mifumo ya afya,(OBAMA HEALTH PROGRAM)imeaza mwezi huu,ufaraza,uingereza bado wanaangaika na ajira na miundombinu,
so tuondokane na hisia za kufikirika ,
Nafikiri hapo sio pa kufanya siasa kama unatakwimu zinazopingana na hizo tuweke ili tujue unabisha kwa hoja au kwa mipasho.
Wataalamu wanasema takwimu upingwa kwa tamwimu.
Inabidi tubadilike kwa mustakabali wa taifa letu na vizazi vijavyo. Muda huu watu wanaangalia vtu vichache vya kuhongwa vinawafanya watu wateseke miaka mitano.Wengi ikifika kipindi cha kampeni na uchaguzi wanafurahia nyimbo. Watanzania wengi tumejawa na mihemko, na hiki kitatumaliza.
Nimesikiliza hotuba kutoka Dodoma, ikiwa ni hotuba za hitimisho wa uchaguzi wa kupata mgombea wa CCM katika uchaguzi ujao, Oktoba 2015.
Ninashindwa kuelewa
1. Kwanini Taarifa za kiserikali kusomwa katika mikutano ya vyama.(Nasema hivi kwa sababu juna mambo kadhaa wabunge kadhaa wa CCM wamekuwa wakipinga na baadaye yanapokubalika kwa wananchi husema tjose three irritating words "Serikali ya CCM" )
2. Taarifa zisizo sahihi kupewa kipaumbele.(Uongo, yes, i said it)
Nimemsikia Waziri Mkuu akitoa mafanikio ya "Serikali ya CCM", kuwa
1. Mfumko wa bei umepungua.
2. Upatikanaji wa Dawa na huduma kuboreshwa kutoka asilimia 13 hadi asilimia 89.
3. Kiwango cha mikopo kupanda kutoka milioni 56 kwa mwaka hadi 300.
4. Uvumbuzi wa nishati(gesi) nk.
5. Ongezeko la waalimu(wasio na ajira).
6. Ongezeko la madaktari kutoka 1400 hadi 2300(wakisahau wanaokimbia nchi na wale wanaokimbilia private sector kila leo).
7. Ukuaji wa uchumi.
Kabla ya hapo, mjumbe toka Zanzibar amejivunia kwa serikali kutoa pensheni ya ishirini elfu(20,000/=Tshs) kwa mwezi, Seriously watu waliotumikia nchi anapeea 20,000/=Tshs, what can you do with that hardly in a week?
Nilitegemea, ni muda wa chama kujirudi(kutazama wapi hawakufikia malengo na ikawa focus ya ku_hit) katika uchaguzi ujao.
Naona somo la unafiki, uongo bado linawasumbua, sasa tukutane Oktoba 2015.