donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
sawa mzeeNgoja waje wenye marafiki wa kike..
Mkuu huvi haya mambo huwa yanatokea kweli katika maisha yetu ya Kimatumbi au umetunga tu?
Ili kama umetunga na mimi nijaribu kutunga ushauri wa fasta fasta hapa...
napita tu ila ishu hii inakuhusu wewe? Na unaonekana unaumia sana roho kaza buti utampata?
Mkuu, clearly ndio maana nkaanza na imagine, lakini pia ni possible scenario ktk maisha. Might have not happened to me, lakini haimaanishi haiwezi kuto-mtokea someone else!
Mkuu hii mambo naona labda ipo sana kwa wenzetu ngozi nyeupe. .
Ila sijui labda kuna wadau wengine wanaweza kuwa wana ujuzi katika hili ngoja niwapishe...
Haha, pamoja mkuu!
Hahaha si unajua Simba na swala hawawezi kuwa mabesti...
Ndg yangu don, nataka nikupe tu kaushauri,
When yu are with the opposite sex mara nyingi wao wanajua kuwa utam advance kidogo hata angalau akatae. When she sees that yu are taking her as your sis basi moyo wake huweka utando ambao unakaaga juu ya supu ya mafuta mengi au chai ya maziwa mazito. I hope yu will understand ma examples. Sio kwamba kakuchukia no but sasa anakuogopa na kukuheshimu pia.
In your case, umechelewa mno, anakuheshimu kama modal wake. anataka umwelekeze cha kufanya tuu. Sasa, kama unataka anzia mbali, mkaribishe kwako, weka wimbo wa taratibu, mwandalie vitu vya kupika eg chai au lunch. Usiwe na haraka naye, akiisha andaa meza, before taking it, just throw it on her. Yaani mpasukie wazi lililo moyoni. Mwambie umekuwa ukimwangalia tangu aanze huo upishi mpaka anavyo kukaribisha mezani, ukashindwa uzalendo.
Give her assurance that yu are serious na kuwa unataka umchukue awe wako.
I tell yu, jibu haliko mbali na hilo ndo lenyewe
Waswahili wanasema:
'Uoga wako ndio umasikini wako'
...
Ukiwa mjinga utapoteza urafiki hata si uongo!
Kuna njia wanaiitaga 'Indirect way' waikumbuka hii?
We domo zege inaonekana uliposhindwa kueleza hisia zako za mapenzi ya kugegedana ukaishia ni rafiki tu..sasa tabu unaipata wanaume wenzio wanavyokua wanamchukua..na mbaya zaidi ukute unawazidi vitu vingi tu..