Unafanyaje ukifumania?

Ni wazi umesaidiwa ila ulidhani pesa ndo kila kitu u were wrong
 
sasa hayo ndo malipo ya kuliwazwa,inawezekana big house inakusimanga coz of ufataki wako.Tulia uone kama utasimangwa
Big house toka lini inakuwaga na jema? 😂 Na ndio maana small house hazikwepekagi
 
Tabasamu afu uone ni Jambo la kawaida
Ikiwezekana saidia kushika mguu
 
Umeyataka mwenyewe, Kwanini umfanyie yote hayo mwanamke ambaye sio mke wako??. Sometimes Wanaume wenzangu tuache uzwazwa.Hayo Mambo ya kumfungulia duka na kununua gari, pamoja na mambo mengine si bora umfanyie mkeo wa ndoa aliyekuzalia watoto?!!. Wanaume wenzangu tukutane kesho asubuhi tuweke mikakati ya kutowafanyia mambo wanayostahili wake zetu kwa nyumba ndogo.
 
Hii ID jamaa baada ya kupata pesa nyingi akaitelekeza.😄😄
 
Huyu Mzee nilikua namuona sana Samora last year.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…