Unafanyaje kwa mazingira haya?

Unafanyaje kwa mazingira haya?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
1470736109746.jpg
 
Mbona simple tu,
1.unatafuta parking nzuuuuuuuuuri
2.unatoa lock kwenye mlango wa upande aliokaa mkwe.
3.unamwambia mama piga chini kapande la mwanaume

Kama hayo yote huwezi
We muulize mama mkwe "vipi mumeo analo "
Teh teh teh teh
 
Simple mwambie sawa piga kimya mfikishe home na mazoea mwisho.
 
Nitaongezea kwa kusema Mwanaume wa Dar huyo!
 
Nampeleka moja kwa moja mpaka standi ya daladala...Namwambiaaa shuka na sitaki mazoeaaa
 
Tumeambiwa tusamehe 7x70

Tuwe na moyo wa uvumilivu kama Lowassa

Tucheke na maadui zetu muda wote kama Kikwete...

Mama mkwe nakusamehe ila sitakusahau..
 
Sasa mbona vitu vya kawaida amesema kweli mwanaume kapita akiwa na maana mwanamke hawezi kuwapita mbio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom