babukijana JF-Expert Member Jul 21, 2009 13,147 16,075 Jan 16, 2021 #61 Hapa toka juzi nabishana tu humu JF sijalala, soon nanunua sleeping pills😁
CHIBURABANU JF-Expert Member Sep 19, 2013 2,921 3,461 Jan 16, 2021 #62 babukijana said: Nachapa daily vyote, sema usiku niko ka popo. Napiga supu biringanya leo na k vant nione. Asante Mkuu. Click to expand... Jaribu Leo babu wangu,uone matoke ulete mrejesho hapa. Pia mawazo punguza mkuu.au mkuu isije kuwa mwenzangu na Mimi mechi tunapewa kwa nadra mkuu.
babukijana said: Nachapa daily vyote, sema usiku niko ka popo. Napiga supu biringanya leo na k vant nione. Asante Mkuu. Click to expand... Jaribu Leo babu wangu,uone matoke ulete mrejesho hapa. Pia mawazo punguza mkuu.au mkuu isije kuwa mwenzangu na Mimi mechi tunapewa kwa nadra mkuu.