Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,809
- 5,032
Apollo please endelea kutoa somo, was learning a lot.......thank you.
Umesema Kuwa Ulijifunza kukaa bila kufikilia, pia ukagundua kuwa unapokaa bila kufikilia ndipo mtu anaweza kupata furaha halisi na kujitambua pia kunaongezeka.. swali ni kwamba mtu asiye waza chochote anawezaje kuwa na furaha na kujitambua kama unavyodai, wakati mawazo ndio source ya kutengeneza uhalisia wa vitu anavyovitaka binadamu? au usipo waza vitu unavyo vihitaji vitakuja automatically? maana ninavyojua mimi kama nahitaji kuwa na nyumba nzuri lazima niiwaze kwanza kabla sijaanza ku_implement effort kuipata, sasa utasemaje kuwa usipowaza chochote ndipo utakua na furaha!! How does it work? explain..
Nipo hapa msaidizi wake shaka ondoa, huyu Boss ni mutu mukubwa ameenda fanya mengine muhimu, siyo kwamba nadharau kikao cha wana JF, hapana! tulimuomba tu atupe nasaha zake humu. then aendelelee na yake,Mada nzuri lakini mwanzishaji 'kaingia mitini' sasa sijui mawswali atajibu nani?
Tupe mistari mkuu.Kama unafanikiwa ukaunganisha thoughts & emotion unakua umefanya kitu kikubwa sana
Conscious na Subconscious hii kitu wengi hawaijui
Na ipo hata ktk biblia
Hongera Mleta Mada
Kwa uelewa wangu haina mda maalum ila inahitaji eneo iliyotulia ili upate concentration na utulivu wa hali ya juu na kuhusu kufunga macho siyo lazima sana ila unaweza kufunga kuongeza concentration,Hii kitu inatakiwa ufanye muda gani na inatakiwa ufumbe macho au bila kufumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nimekusoma.Kwa uelewa wangu haina mda maalum ila inahitaji eneo iliyotulia ili upate concentration na utulivu wa hali ya juu na kuhusu kufunga macho siyo lazima sana ila unaweza kufunga kuongeza concentration,