Unafahamu hii

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Asilimia 40 (40%) ya Wababa waliopima DNA(vinasaba)-kuhusu watoto waliowazaa,imegundulika watoto hao wanaowatunza sio wao.- MKEMIA MKUU WA SERIKALI
 
Wengi huwa wanashitukizwa na wake zao "mme wangu nina mimba", baada ya hapo anapigwa blah blah anakubali.

Mimba zisizo pangwa.
 
Kama mimi nalea watoto sio wangu inamaana kuna mwanaume nae analea watoto wangu.
 
wanaume wajitaidi kupima watoto wao.serikali inasemaje ikiwa mtoto amepimwa na kugundulika sio wake,inakuwaje nikimtimua mama na mtoto.
 
Asilimia 40 (40%) ya Wababa waliopima DNA(vinasaba)-kuhusu watoto waliowazaa,imegundulika watoto hao wanaowatunza sio wao.- MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Inaeleweka! Wengi wa wanaoamua kupima wanakuwa tayari wanawasiwasi kuwa wameshikishwa. Tulio na uhakika hatupimi. Ingekuwa wote tunapima asilimia zingesoma tofauti. Mf. 0.002% wanalea watoto si wao. Waona hata hao wenye wasiwasi bado hawajafika hata nusu wanaolea wa wenzao!
 
acheni kabisa hii story nimeona live kwa mpangaji wetu mtoto aliumwa kwenda hospital baba cjui akahis nini akaamua kupima DNA mtoto si wake

daaa mbona kurudi home pamechimbika....ndoa imekalia mkao wa chura kwa sasa haileweki kwa maana mkewe hataki kusema mtoto wa nani
 
Hiyo ilikiwa mkoani mbeya tuseme watu walipima ni 10 hivyo wanne ndo baba zao hawajulikani
 
Back
Top Bottom