Unaenda wapi nikupeleke mrembo?

Unaenda wapi nikupeleke mrembo?

582537_10151309312134280_1922624031_n.jpg
Bujibuji unaweza kumgeuza huyu MREMBO?
 
wanawake magari yanawazingua sana. Hakuna cha mke wa mtu, ana gari wala nini. Hata kama anaelekea kaskazini na wewe kusini, so long as una gari na ana uhakika wa kurudishwa kaskazini, yaani unamchukuwa kiulainiiii... Akijitahidi sana ataleta staki nataka, lakini mwishowe kitu na box. Yaani sijui wamelogwa vipi na haya magari...
hebu tupe uzoefu wako wa huko nyuma katika hili
 
mmmh...kutiana vumbi tu!
KUTIANA VUMBI!!!!!!??????????:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Nakumbuka nilikuwa naendesha trekta la kijiji. niliwadaka kibao, nadhani lile trekta lilinisababishia watoto zaidi ya kumi na nne kila mmoja na mama yake


Heee! Wewe ndo ulikuwa dereva wa KUBOTA ya KNCU pale kwetu nini? Baadhi ya watoto uliowaacha wana hali mbaya sana Bro!
 
Mimi nilikuwa naendesha trekta la KILU Kiloleli na Lubugu ujamaa village

Dah! basi bana. Inaonekana madereva wote wa matrekta mna tabia za kufanana. Kuna jamaa alikuwa akiendsha KUBOTA la KNCU kijijini kwetu alikuwa ni balaa. Amekula kuku mpaka na mayai yake!
 
Dah! basi bana. Inaonekana madereva wote wa matrekta mna tabia za kufanana. Kuna jamaa alikuwa akiendsha KUBOTA la KNCU kijijini kwetu alikuwa ni balaa. Amekula kuku mpaka na mayai yake!
unajua trekta linarusha rusha ukiwa unaliendesha, hivyo basi na mashetani huku chini yanakuwa yanaruka, yakipiga tize, si unajua baada ya tize ni mechi?
 
naelekea sitimbi ulikua wapi jamani HB wangu kuja kunichukua mapema yaani hadi nilichoka kusubiri ooooh hama kweli unanijali hadi unakuja kunichukua na gari asante sana HB wangu mmmmmmmmmmmmmwwwwwwwwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom