Naona kuna dunia, maendeleo ya kiteknolojia na binadamu.
Dunia inalia kwa uharibifu, silaha inayotumika kuiharibu dunia ni maendeleo, ambayo yanaonekana kama deco kwa dunia(pointer ya binduki ineonekana kama lipstick tena karibu na midomo ya huyo mwanamke dunia), anayesimamia hayo yote ni binadamu asiye na huruma (crooks-angalia midamu ya kiganja kilichoshika binduki)