Najitahidi kuangalia ila sijaelewa chochote
Haaa haaaa haaaaaa! haya simulia ila usije ukawa kama MziziMkavu, Hadithi ndeeefuuuu... mi nitaondoka
utafiti kakimbia?? mi nataka aone wivu bana...!! unajua ii GOLD imekuja ki vere vere romantic yani!Enheeeee!! Tiririka Babiiiii...... we si umeniita Mamiii
Honey Faith usiniangushe bana, hebu angalia tena, au umemiss mambo yetu?Najitahidi kuangalia ila sijaelewa chochote
Price unamskia mura? Kama sio yeye vile...vile mayai bei gani sasa?
mamaa yupi vile? usiniambie km ni Price bana!! hahaaaaa!! sitaamini kabaisa!Sijakimbia nilikua sehem mbaaali na mamaaa
Elfu nane... halafu sijui huwa wanayapata wap
Duh Excel mnapata hela sana...imefika 8000????
Haaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa......! si wazima bhana... halfu yule anayetangaza ITV, Ana semaga Mimi ni Joooooooohn Marato Iiiiiiiii Tiiiii Viiiiiii....... Ndugu yako eeeeh!mamaa yupi vile? usiniambie km ni Price bana!! hahaaaaa!! sitaamini kabaisa!
hahahaaaa!! mi niko DUBAI napata supper..! mnasemaje huko mbagala kuu? lol!
Haaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa......! si wazima bhana... halfu yule anayetangaza ITV, Ana semaga Mimi ni Joooooooohn Marato Iiiiiiiii Tiiiii Viiiiiii....... Ndugu yako eeeeh!
Honey Faith usiniangushe bana, hebu angalia tena, au umemiss mambo yetu?
hujaelewa? aisee njoo pm nikupe jibu kulaleki! mi nimeelewa mpaka naogopa kutoa majibu!
Sasa mbona unaniwekesha hapa pm bhabha bhokeee!!!!