Unaelewa nini?

Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaa!!! Dah! umenichekesha sana... naona itaharibika Kongosho

ayaaaa!!! hujadondoka kweli mamii?

mi mbona kitambo tu nimehongwa hii gold na mrembo mmoja umu JF!!

nilimvaa kudadeki, yani ile one two one two, kaingia kwenye 18!

hajakaa sawa, nikam-(hidden!)... basi, story ikaisha!!!

njoo PM nikumalizie!!! lol!
 
Aku! mi sitaki mabaki. Halafu nizoee tu mi nitakuwa mtani wako... upende usipende
 
Aku! mi sitaki mabaki. Halafu nizoee tu mi nitakuwa mtani wako... upende usipende

hivi ilikuwaje we na utafiti mama mkaanza kunimanga na JF gold member yangu eenh?

nimeilipia laki 1 na nusu ujue!!! ohooo!
 
Last edited by a moderator:
mi naona utafiti na Price wananisema tu eti mi kwanini ni JF GOLD MEMBER!

hivi hii nayo si inaweza kuchangia ini kuharibika eenh? lol!

Hahaha we mura naona bado hujakunywa chai
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!!! aisee sijui umejuaje! yani nna njaa kama nini! km vp Price fanya manyuva mamii!

Unamuongelea Price huyu au mwengine? Huoni izo kucha, unajua bei yake, anaweza kuingia jikoni? Sidhani
 
Last edited by a moderator:
Unamuongelea Price huyu au mwengine? Huoni izo kucha, unajua bei yake, anaweza kuingia jikoni? Sidhani

naona kama Price anaitwa indairektile! sijui nivunje mipango jamani!

mamii Price, hebu kuja huku unifanyie masaji ya mbavuni!
 
Unamuongelea Price huyu au mwengine? Huoni izo kucha, unajua bei yake, anaweza kuingia jikoni? Sidhani
Jamani mi mbona napika sana tu.... sema utafiti hujawahi kufika kwangu... ngoja nikualike siku uje na Mamaa uone kama hujamuacha huyo ukaja kwangu cz of mapishi.
 
Last edited by a moderator:
Sasa njaa gani? una maanisha una ukame? si umfuate yule uliye lala naye jana

ngoja kwanza..! pole pole! twende ngaz kwa ngaz... step by step!!!


wewe na utafiti mlikuwa na secret agenda juu yangu! enhee! semeni doto...!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mi mbona napika sana tu.... sema utafiti hujawahi kufika kwangu... ngoja nikualike siku uje na Mamaa uone kama hujamuacha huyo ukaja kwangu cz of mapishi.

Dah neno la msingi kabisa hilo naomba nije pekeangu
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza..! pole pole! twende ngaz kwa ngaz... step by step!!!


wewe na utafiti mlikuwa na secret agenda juu yangu! enhee! semeni doto...!

Yes tena big YES, tulikua tunaongea umetoa wapi hiyo gold?
 
Last edited by a moderator:
Yes tena big YES, tulikua tunaongea umetoa wapi hiyo gold?

kwanza kabisa.. kabla sijatoa ufafanuzi.. naomba niseme nimemmiss sana ameline..!

pili, naomba nimualike Price kwenye hig table awe karibu kabisa na mimi kabla sijaanza kusimulia hiki kisa..!
 
Last edited by a moderator:
kwanza kabisa.. kabla sijatoa ufafanuzi.. naomba niseme nimemmiss sana ameline..!

pili, naomba nimualike Price kwenye hig table awe karibu kabisa na mimi kabla sijaanza kusimulia hiki kisa..!
Haaa haaaa haaaaaa! haya simulia ila usije ukawa kama MziziMkavu, Hadithi ndeeefuuuu... mi nitaondoka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…