Unaelewa nini?

nimeona mvuta sigara, mnywa pombe na. mla bites..mapafu ya mvuta sigara ni meusi tofauti na wengine..figo za mnywa pombe zimevimba na rangi ni tofauti na wengine..huyo. mla bites tumbo limenenepa sana na moyo pia..so sigara ni hatari kwa mapafu..pombe hatari kwa figo na bites ambazo zina mafuta mengi ni hatari kwa moyo na kunenepeana...
hiyo ya pili naona kama mtu anataka kujishoot...
 

kweli aisee,, na hiyo ya pili?
 
kweli aisee,, na hiyo ya pili?

Hapo juu ya gun kuna mji na maghorofa yanaoashiria maisha ya mjini lakini mkono ulioshika unaonekana kama ni vito fulani hivi thus naona kama kuna ujumbe wa mali na maisha ya mijini yanaweza kupelekea vifo au matumizi ya bunduki
 
Ya kwanza naona mkuu Ameline ametoa ufafanuzi mzuri tu.
Ya pili inamaanisha maendeleo ya miji na viwanda yanatishia na pengine kuua kabisa uoto wa asili.
 
Mie naona mnywa pombe ini lake ndio limeathirika, figo hapo hazionekani kwa sababu zipo nyuma ya stomach na ini.
 

nmeona kama wa mwisho ndio yuko powa na ana kula matunda.
 

Ni sawa
 

umemtendea haki mwalimu wako wa map and photograph interpretation.
 
mi naona utafiti na Price wananisema tu eti mi kwanini ni JF GOLD MEMBER!

hivi hii nayo si inaweza kuchangia ini kuharibika eenh? lol!
Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaa!!! Dah! umenichekesha sana... naona itaharibika Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Hebu mtafute MMU, Atakuwepo huko tu maana yule..... au ngoja nimuite, Excel

Hebu mtafute MMU, Atakuwepo huko tu maana yule..... au ngoja nimuite, Excel

Nina wasiwasi, hivi unemuona wapi kwanza?



Yeah... yan nimeshangaa.... dah!




Big up utafiti, pics zako zina maana sana, hv Excel nae ni JF Gold member eeeh.... haaaaaa haaaaa haaaa!!! ngoja na mm nifanye harakati za kujifilisi.

utafiti na Price kudadadeki... nyie si mnasema kuhongwa na mwanamke ni vibaya eenhh?? lol!

sasa excel ndo huyooo kapewa cheni ya gold na mtoto wa kike! tena kutoka MMU!

hahahaaaa!! tatizo mnatumia michina hata hamuoni status za watu! lols!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…