Unaelewa nini..?

Pasheil

Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
9
Reaction score
3
Wakuu Habari.
Lugha ya picha,wewe umeelewa nini
 
Attachments

  • Screenshot_2019-05-05-13-50-04-1.png
    120.7 KB · Views: 26
Kwamba mtu kama jiwe anatawala/anaongoza/control binadamu kama Lissu
 
M n mtumwa wa hivyo vyote kasoro madawa
 
.
Addiction mbalimbali zinavyowaendesha watu..

Mmoja pombe, mwingine kamari mwingine sigara kifupi Ni jinsi watu wana lose control kwenye hizo addiction
👍 nimekuelewa mkuu
 
Pombe, sigara, madawa, kamari na simu vimewafanya watu kuwa watumwa wa ivyo vitu
Ndio jamii yetu ya sasa,tumekua watumwa wa vitu,vinatutumikisha kuliko tunavyo vitumia
 
daah sasa unatembeaje mzee
Sitembeagi mkuu,huwa nikiwa job 80%nipo na simu,nikitoka naelekea baa nakunywa nakuvuta huku nachati had I muda wa kuelekea home na nikifika nachati huku nakula then naenda kitandani nachati had I usingizi unipitie
 
Ratiba yako ipo vizuri,ingawa ongeza na zoezi kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…