Unadhani Wanajadili Nini?

Nakuona Yuda Escariot anatafuta gia ya kutokea
 
Watakua wanachagua kiwanja cha kwenda kula bia baada ya hapo
 
Hiyo ndio raha ya wanasiasa, raia tunatumbuana na ngumi mkononi na kufanyiana uhalifu.
 
Mbowe alifanikiwa kumtapeli Waziri Mkuu Mstaafu
 
Unauliza waliozeeka huwaoni halafu kiumri ni wadogo sana kwa lijamaa la malofa na wapumbavu
 
"Hivi mwenzio bado ameshikilia bifu na marehemu, mbona hajatokea hapa Karimjee kumuaga?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…