Unadhani ni kwanini ni rahisi mwanamke kutoka na muuza urembo au mkaanga chipsi kuliko mtu wa ofisini?

Wanaangalia Muhogo wa Jang'ombe, sio issue kwao kwamba aliyeubeba huo Muogo anafananaje.
 
Wanaogopa kuwa na watu wenye kazi nzuri wakiamini huenda wanakutana na warembo wakali kuliko wao huko maofisini, hivyo wanaamini watasalitiwa muda wowote ule ndiyo maana wanaogopa kudate nao
 
HAKUNA CHA MUUZA UREMBO WALA CHIPS
SASA HIVI BODABODA NDIO WANAONGOZA
Boda boda wana soko sana.

Unakuta Dada Mshahara wake ni laki tatu lakini kila siku anakuja kazini na Boda Boda.

Wewe na kamilioni kako unapanda Daladala.
 
Ukitaka jua level ya mwanamke wako tazama average ya wanaume watatu aliolala nao.

Kama ni watu wa hovyo then hiyo ndio haiba yake anataka watu wa hivyo kama wewe sio wa hovyo atakucheat na mtu wa hovyo kama ni mtu wa hovyo then possibly mnaelewana.
 
Inaweza kushangaza lakini ndo ukweli wenyewe

Unadhani ni kwanini?

Ukweli ukuweka huru
Hao ni wanawake wa huko kwenu Buza kwa mama kibonge. Wanawake wanaojielewa wanaenda na wanaume wanaojielewa.
 
Hauoni hapo wanapata kitonga? Hao ni watu ambao wanaenda kupata huduma na mwanamke kutoa pesa yake kwa ajili ya kulipia kitu huwa inamuuma sana na ndiyo maana wanagongwa na bodaboda ,wauza chips ,wauza urembo simply kwamba watakuwa wanapata huduma bure.
 
Back
Top Bottom