Hakuna mantiki ya Ma Dr kugoma.
Kama ni mazingira mazuri sio kwao tu. Kama mafao kila mahali halo bado hairidhishi.
Waache uwanahakati warudi wodini.
Ndugu yangu HAKI HAIOMBWI hata siku moja bali INAPIGANIWA.....madaktari wanadai stahili zao unasema waache u-wanaharakati! napata shida na uelewa wako...Unataka nani sasa awapiganie madaktari kudai HAKI zao kama sio wao wenyewe....kama mwenyewe haujitamini unadhani nani atakuthamini? mimi nadhani huu mgomo na ushirikiano wanaoufanya madaktari ni mwanzo mzuri wa kuwafumbua macho Watanzania KUDAI HAKI ZAO...HAKI HAIOMBWI HATA SIKU MOJA..........BRAVO DOCTORS ALUTA CONTUNUA HADI KIELEWEKE