Bado hata tv yake ya Itv saa mbili hii imeonyesha mahudhurio ya shule ya watoto wa Mtwara ni hafifu na kibwagizo chake ni watu wa Mtwara wakiandamana kushangilia ushindi wa Rais Magufuli. Mbona hawatuonyeshi Monduli baba na mtoto dudu nje kama mnyama huku wakichunga mbuzi? Ole wenu na dharau hii wakaskazini kuna siku itawatokea puani
KAzomewa kwa vile mchaga. Sisiemi haipendi wachaga.
Bado una msimamo ule ule? Teh teh the JPM wanyorosheeeeMengi sio mkatoliki lazima azomewe