Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Nchi inayojali viongozi wa ngazi za juu ilihali raia na watumishi wa nafasi za chini wakitaabika.
Au kichaaNchi inayoongozwa na shetani ,mbona hiyo rahisi sana kujua .
Mhh kama anaingia magogoni vile
Hii style kama ya mzee wa magogoni
Lazima ana makosa makubwa sana huyu.