Unadhani anafikiria nini?

...pheeew! it's been a narrow escape, i wonder if Mzee Ben would still be around in 2020 to shield me from treasure hunters, else...!!
 
...pheeew! it's been a narrowly escape, i wonder if Mzee Ben would still be around in 2020 to shield me from treasure hunters, else...!!

Hahahaaa, ngoja mwenyewe akuskie aseee, teh teh.
 
mchanyato wa hasira na tabasamu

Ni sawa uchanganye konyagi na juice ya kijoti unahisi utam na ladha nzuri mwanzo ila baadae mlipuko wake unakuwa ni mbaya sana na pia ni wa balaa mno aseee, heh heh.
 
Mafisadi hawatakuwa nanafasi katika Serikali yangu, hakika nitaweza!!!
 
Mafisadi hawatakuwa nanafasi katika Serikali yangu, hakika nitaweza!!!

Hahahaa, nikwambie kitu mkuu............waswahili wana msemo wao unasema "MPISHI ALICHONGA MWIKO ILI AWEZE KUNUSURU MKONO WAKE ANAPOPIKA" kwa hiyo MPISHI kwa kuona akichovya MKONO wake kwenye JUNGU ataungua that's why aliamua kuchonga MIKO ili aweze kuchota uzuri ndani ya JUNGU asipate madhara ndugu.
 

Umenena vema mkuu KIOO
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nimeipenda hii na ina ukweli ndani yake!
 
Mkuu nimeipenda hii na ina ukweli ndani yake!


Ni kweli kabisa mkuu na ukweli ni huo kiongozi mpishi amechonga mwiko ili kunusuru mkono wake mkuu ili asiungue...!!!.
 
Grammar lieutenant to the Chief of the Grammar Police.

You must have learned from the best:A S wink:.

Oooh yes.

The very best.

Getting better by day.

If only I wasnt treading on egg shells.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…