ajitaid kuwekeza la sivyo atazeeka vibaya!! simpendi kwa uma*ay* wake
Samahani mkuu Diamond ndo nani tena???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Diamond ni mwanamziki fulani hivi wa Tanzania ambaye alichukua tuzo. Anajua kulimiliki sana jukwaa awapo anaimba. Alishatoka na Wema.
Hivi wewe ni nani vile?
Hata mimi simfahamu.......Wema ndio nani?
Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu. Alianza elimu ya msingi hadi sekondari amesomea katika shule moja tu iitwayo "Academic International" iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam.
Kipaji zaidi cha Wema kiligundulika katika sanaa ya filamu, ambapo alifanikiwa kucheza vema kabisa katika filamu ya A Point of No Return akishirikiana na mchezaji filamu maarufu wa Kitanzania Steven Kanumba.
Amekuwa na mahusiano na watu maarufu wengi wa Tanzania wakiwemo Mr.Blue,Charlz Baba,Steven Kanumba ,james fredrick na wengine wengi,ingawa kwa muda huu yupo na msanii maarufu wa Bongo fleva Tanzania aitwaye Diamond. Pia Wema amekuwa akijulikana kwa kuwa na sauti ndogo ndogo. Kwa sasa Wema amevishwa pete ya uchumba ya Diamond.Pamoja na yote hayo,binti huyu amelelewa na kuishi kama mtu wa Magharibi(Ulaya)
Source:
Wema Sepetu - Wikipedia, kamusi elezo huru

duh kumbe meneja wake ni RUGE?Asante kwa kunifuta tongotongo