fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,608
- 7,167
Huo msemo ni ukweli mtupu
Hata Chuma Pia,,Huliwa Na Kutu....Fresh tu, cha mtu huliwa na mtu
Ndio, hivyo hakuna jipya chini ya juaHata Chuma Pia,,Huliwa Na Kutu....
Njoo nikufundishe mkuu.Mishangazi mnaipatapateje
Nami naipatapateje
Ndio,,Hivyo Pia Chini Ya Jua Hakuna Jipya......Ndio, hivyo hakuna jipya chini ya jua
Kuchapiwa ni siri ya ndani! Mtenda akitendwa huona kaonewa!Huo msemo ni ukweli mtupu
Hisia na tamaaSijui ni kwanini🤔
Bado hujaelezea mkuuHisia na tamaa
😍😍😍Usiogopeshe watu.
Sio kila mke wa mtu anatoa utamu nje.
Wanawake tu wa sikuhizi hawana maadili. Wanashindana na wanaume zao, wakihisi na kuona waume zao wana wanawake nje basi na wao wanakuwa na wanaume nje.
Kwahiyo ww una mchepuko na yeye ana mchepuko.
Labda ili kulipiza kisasi.
Au kutaka kujua kama bado ana mvuto, (hawajiamini hivyo watahitaj mwanaume mwngne athibitishe kuwa bado anavutia).
Au kutafuta faraja.
Au hasira.
Na wengne wanaona ni haki sawa.
Ila Ukiishi na Mke wako vizuri.
Ukatimiza mahitaj yake kimwili, kihisia na Ukamuheshim na kuheshim familia yako.
Yaan unyooke in many ways.
Mwanamke hawezi kwenda kutoa utamu nje.
Mwanaume unaweza kufanya hivi na bado ukawa na mchepuko na wife akatulia.
Kwahiyo sio kila Mke wa mtu anacheat.