Tatizo lenu mnapenda kutendewa mema ila sio kutenda.
Na kila siku mmekua mnaweka mada za kuwalaumu wanawake, mara wanawake hivi, mara vile hadi mnaudhi...
Utadhani Mwamamke ndio mkosaji na ndio anatakiwa kufundishwa tu katika jamii...Ebo..!
Kama upo kwenye ndoa au mahusiano, unachokipata/unachotendwa na mkeo ni matokeo ya unavyomtendea. Kama unamheshimu, atakuheshimu, kama unampenda, atakupenda, kama unamdharau, atakudharau..etc.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA.. LOL!