Unable to apload due to low memory

nasri chilo

Member
Aug 15, 2012
13
0
Natumia Huawei Y5 lite, kila nikitaka ku-upload file au picha nakutana na changamoto hiyo, nilijaribu ile option ya ku-uncheck (don't keep activities) kwenye developer option lakini shida bado ipo. Naomba msaada wa jinsi ya kutatua hii shida kwa mwenye ujuzi,

Nawasilisha.
 
Memory inaweza maanisha mambo mawili
1. Ram
2. Storage

Kama ram ni ndogo unaweza pata hilo tatizo na pia kama storage ipo kidogo hakuna hata cache space inaweza pia sababisha hilo tatizo.

Jaribu kutumia browser nyepesi kama opera mini uone kama itasaidia.
 
Back
Top Bottom