monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,889
- 13,647
Kweli!Mkuu unaadika uzi kisomi halafu "h" zako hizo zinakuharibia, sababu zinapotosha maana na kumfanya msomaji arudie kusoma sentensi na kuipanga kwa maneno yake!
Kifupi ni kwamba, hao ndiyo walimwengu walivyo,kulaani vitu ama matendo wayapendayo kuyafanya.
Mzinzi analaani uzinzi, mwizi analaani kuibiwa, muongo analaani kudanganywa.
Dunia imejaa wanafiki sana hii kuliko unavyoweza kudhania.