Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #61
Kila la kheri Mkuu.Sawa,ntakwenda kumuuliza nkipata huo wakati.
Au muulize Mchungaji wako.
Kila la kheri Mkuu.Sawa,ntakwenda kumuuliza nkipata huo wakati.
Bikra inatolewa kwa njia moja tuu. Hizo zingine ni simulizi za kubuni.
Labda mtoto afanyiwe upasuaji.
Ok, nitapitia baadae hiyo mistari.Mahusiao ya Mtu na Mungu/ Mtu na Mtu
Kutoka 20:1-12
Kumb 6: 8-20.
Law 10,11, mpaka 21 sura zote.
M mwenyewe naitafuta kwel lkn pamoja na juhud zangu naona nazeeka tu....
Zmekuwa adimu sana Mjomba....

Kuna mtu kasema serikali haiwezi mpangia mtu maisha
Sawa MkuuOk, nitapitia baadae hiyo mistari.