Unaanzaje kubariki Uzinzi?

Unaanzaje kubariki Uzinzi?

Unawezaje kuthibitisha, jinsi toba ya uzinzi haiondoi adhabu?
Huoni kwenye ndoa?

Kama mtu ulichukua watoto wa watu na wako atachukuliwa. Kama ulichukua mke Wa mtu jiandae na wako.

Ndio maana ya Karma.
 
Hatuko uarabuni sie bhana hapa ni TZ mtu kua na bikra au kutokua na bkra ni maamuzi yake matangazo ya condom yameshamili mitandao ya kijamii mingi sana picha matusi nyingi sana unafikir kwa mwendo huu bikra unazipata wapi ila nadhani this 21st centry na sio 19 century ukumbuke hilo mtoa mada acheni watu waishi wanavyotaka ila sio kusema akiwa bikra msafi asipokua nayo mchafu bikra hupimwi ww msafi au mchafu unaweza kua na bkra na bado ukawa mchafu kimatendo hata kiroho cha maingi jumuomba mungu vijana tuepukana na uasherati bhax
 
Sema wanaume ndio tumezubaa. Ila serikali ipo awamu atatokea mwenye misimamo ya kiuungu
 
Unauhakika kuwa wanafuraha?

Unafikiri kwanini watu wanasema ndoa ngumu?

Acha kubisha Mkuu.

Uzinzi haufai. Na ili kuupinga lazima tuwazuie wanawake na bikra zao

Unaweza kuwazuia wanawake wasitoe bikra zao? Utatumia njia gani? We jitahidi kuzuia wa kwako kama anayo!!!

Kusema ndoa ngumu kunasababishwa na ubikra!?

Tabia,upendo,kujali, mapenzi ya kweli, heshima, kuthamini n.k ndio vinavyojenga ndoa. We kazana na ubikra!!!
 
Back
Top Bottom