Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
- #41
Kama u mwanaume basi unashida sehemuPumba
Kama u mwanaume basi unashida sehemuPumba
Mbona sijaiona ktk amri zake?Hiyo ni sheria ya Mungu mkuu.
Afu wengi ni Wanaume. Nilitegemea wakina dada ndio wanipinge lakini naona wanaume ndio wapo juu.Huwa inashangaza sana............!!!
Amri za Mungu ni ngapi?Mbona sijaiona ktk amri zake?
nilikua najaribu kuona uwezo wa neno moja tu kujibu insha yenye aya za kutosha...100% successKama u mwanaume basi unashida sehemu
10 kwa mujibu wa dhehebu langu.Amri za Mungu ni ngapi?
Ni sawa mkuunilikua najaribu kuona uwezo wa neno moja tu kujibu insha yenye aya za kutosha...100% success
Kweli mkuu.Usidanganywe kabisa. Bikra ni Bikra siku zote.
Awali ni awali hakuna awali mbovu.
Unadhani wazee zamani walikosea kama sisi tunaojifanya wajuaji na matokeo yake ndio haya.
Mwanamke anashindwa kulinda bikra yake ataweza kulinda mapenzi yako
Mwanamke akijizuia mwanaume atazinije?Japo sijasoma comments za wachangiaje wengine zote na huenda ntakachouliza kilishaulizwa ila wacha niulize tu. Ni mwanamke pekee ambaye akifunga ndoa asipokuwa bikra hiyo ndoa inakuwa batili!? Uzinzi wa mwanaume kabla ya ndoa hauifanyi ndoa kuwa batili!?
Watu ndio wamesema zipo kumi lakini Mungu hajasema anaamri 10. Soma Biblia Mkuu.10 kwa mujibu wa dhehebu langu.
Umemaliza kila kituGrace of God do not remove his law.
Don't be lied
Neema haiondoi sheria. Neema ni Msamaha ambao haikuwa stahiki yetu. Neema haiondoi sheriaUmemaliza kila kitu
Tufanye dhambi ka sababu hatuwi chini ya sheria bali chini ya neema???Rum 6:15
Nimesoma mkuu. Labda unipe hiyo mistari husika.Watu ndio wamesema zipo kumi lakini Mungu hajasema anaamri 10. Soma Biblia Mkuu.
Kuna Amri za mahusiano ambazo zimegawanyika katika makundi mawili;
1. Mahusiano ya mtu na Mungu
2. Mahusiano ya Mtu na mtu/watu.
Kuna Amri za Vyakula.
Kuna Amri za mavazi
Kuna Amri za Mali kama mambo ya Ardhi, urithi n.k.
Hujui mambo mengi mkuu. Sema ufundishwe
Kama mwanaume angalitaka thamani na umuhimu wa bikra ya mwanamke wakati wa ndoa basi asingekuwa na haja ya kuhangaika kumshawishi mwanamke ili akubali kisha wakazini maana ingekuwa kichwani kwake kuwa huyo atakayezini ama atakuja kuwa mkewe ambapo atamuo akiwa hana bikra au atakuwa mke wa mwanaume mwingine na hivyo isingempendeza yeye wala mwanaume mwingine. Mimi si msomaji mzuri sana wa maandiko matakatifu na kwa mantiki hiyo naomba kuuliza,kunayo maandiko ambayo waliandika wakisema bikra ya mwanamke ilikuwa kigezo cha ndoa katika zama zao!?Mwanamke akijizuia mwanaume atazinije?
Mahusiao ya Mtu na Mungu/ Mtu na MtuNimesoma mkuu. Labda unipe hiyo mistari husika.
Muulize Babu yako naona huwezi elewaKama mwanaume angalitaka thamani na umuhimu wa bikra ya mwanamke wakati wa ndoa basi asingekuwa na haja ya kuhangaika kumshawishi mwanamke ili akubali kisha wakazini maana ingekuwa kichwani kwake kuwa huyo atakayezini ama atakuja kuwa mkewe ambapo atamuo akiwa hana bikra au atakuwa mke wa mwanaume mwingine na hivyo isingempendeza yeye wala mwanaume mwingine. Mimi si msomaji mzuri sana wa maandiko matakatifu na kwa mantiki hiyo naomba kuuliza,kunayo maandiko ambayo waliandika wakisema bikra ya mwanamke ilikuwa kigezo cha ndoa katika zama zao!?
Pamoja na kujadili hapa ambako huenda kukawa kunaonyesha ukinzano wa fikra ni ukweli kwamba uzinzi haupaswi kuendekezwa.
Sawa,ntakwenda kumuuliza nkipata huo wakati.Muulize Babu yako naona huwezi elewa