Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
Habari za jumapili.
Bikra ni alama ya usafi na uaminifu kwa mwanamke. Ni dalili ya kujitunza na kujizuia na tamaa za mwili. Hapo zamani mwanamke asiye na bikra alikuwa hawezi kuolewa.
Na Mara nyingi ndio waliokuwa wanafanya biashara ya umalaya kwa kulipwa kiasi kidogo kulingana na thamani yake.
Mwanamke alijivunia bikra yake hata asipokuwa na mvuto wa kuastaajabisha. Bikra ilionekana yathamani zaidi kuliko uzuri wa mwanamke mwenyewe.
Ilikuwa kama huna bikra basi aibu ingeikumba familia yako na wewe binafsi.
Wanawake wenye bikra ndio walipaswa kuvaa shela jeupe pee kama ishara ya usafi wa mavazi, mwili na roho.
Lakini siku hizi utakuta mwanamke bila aibu anavaa shela na ndani bikra ilitoka miaka kumi iliyopita.
Ni kosa la kimaadili kwa Mchungaji kufungisha ndoa ya watu wasiowasafi. Mwanamke asiye na bikra unawezaje kufungisha ndoa yake tena kwa kutumia maneno ya Mungu.
Hapo ndipo watu wanapomchokoza Mungu. Ndipo wachungaji na mapadri wanapoongeza Akaunti zao za makosa kwa kujua au kutokujua.
Mchungaji anapaswa kujua na kutangazia umma kuwa watu hawa ni wasafi na mwanamke huyu ni bikra baada ya kupewa ushahidi.
Vinginevyo kinachoendelea ni uhuni tuu uliohalalishwa.
Kubariki Uzinzi kanisani ni ushetani uliovuka mipaka. Ndio maana kizazi cha sasa hakina nidhamu.
Serikali inapaswa iweke sheria Kali kuhusiana na suala la uasherati kwa vijana wadogo.
Wanafunzi wapimwe mimba na bikra zao. Watoto wakike wafundishwe uoga kwa wanaume. Hii itasaidia lakini bila kuwapa hofu hawa watoto wa kike basi ndipo mambo haya huwa machafuko.
Wachungaji wajitizama upya.
Na wanaume ambao hatujaoa, tuepuke kuoa mwanamke asiye na bikra.
Ni vigumu kumuamini mwanamke asiye na bikra yakuwa ni muaminifu. Atajieleza kwa namna gani uelewe.
Na wanawake wenye bikra, usitoe bikra yako isipokuwa usiku ule wa kufunga ndoa.
Kwa hisani ya kiumeni.
Nawasilisha!