Very very sure?Today is non refundable make it unforgettable.
Ohoo! Kumekuchwa!Naamini katika serikali ya awamu ya tano chini ya Dokta John Pombe Magufuli.
Kitu gani sasa mbona unaficha ficha weka mambo hadharaniImani ya kufikiria kwa kutumia akili yaani ubongo ni imani potofu. Akili yako sio sio kipimo ndio maana Robot anaweza kutengenezwa akakuzidi akili mfano akajua hesabu, mchezo wa chess au lugha mbalimbali. Kuna kitu zaidi ya mawazo yetu ambacho hakina mwanzo wala mwisho wala huwezi kukielezea kwa hii akili ya kawaida ukaelewa. Kiko ndani ya kila kiumbe kilicho hai . Baada ya maisha haya mafupi hapa Duniani hiyo nguvu itarudi ilipotoka.
Akili ni zana ya kazi tu kama ilivyo miguu au mikono katika kutimiza majukumu mbalimbali. Watu wengi wanafikiri akili ndio kila kitu. Tulia taratibu focus within yourself then you will see. Kutengenezwa kwa robot na binadamu kusikupe wazo la kutoka nje ya huu mtiririko . Bingwa wa Dunia wa Chess Garry Kasparov alikuja kufungwa vibaya na Computer ya IBM ijulikanayo kama Deep Blue. Mchezo wa Chess unajulikana kama mchezo wa kutumia akili sana. Akili haingozi chochote kwenye mwili ila yenyewe ndio inaongozwa. Lakini inakuonyesha kama yenyewe ndio kila kitu.Kitu gani sasa mbona unaficha ficha weka mambo hadharani
Akili haina mipaka ndo inaongoza kila kitu, Akili inaongoza Hisia, Imani na msimamo.
Akili yako sio kipimo cha nini?
Hilo robot linakushangaza nini? Si limetengenezwa na mtu? Mtengenezaji ndo wa kusifiwa na sio robot.
Sijui kama nakuelewa au tunapishana uelewa.